Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Kwa hii picha ya bongo muvi umechapia
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa watu weusi wanatisha na siviumbe wakawaida?
 
Ni kweli hiki kisiwa kipo India na kinakaliwa na watu weusi sana wanaitwa jarawa.

Hawa watu ni bush men make wanaishi porini na hawana interaction kubwa na jamii nyingine ispokuwa watalii.

Nafikiri serikaki ya India imeweka mashariti magum kufika huko ili iendelee kujiingizia kipato make, hiki kisiwa na watu wake ni kivutio Kikubwa cha utalii kwa India. Pia huwaingizia pesa Nyingi za kigeni.

Hapo ndo utagundua kuwa asasi za kutetea haki za binadam ni za kinafiki kwani hii ni ubaguzi wa hali ya juu sana. Iweje jamii fulani itumike kama kivutio cha utalii halafu jamii husika isinufaike hata kidogo.

Pia African organizations hatujafanya jitihada za maana make hawa watu ni weusi na either wana asili ya Africa au hata huko India lkn kwa kuwa ni weusi lazima tutetea uhuru, haki na usawa wa weusi wenzetu na binadam wote kwa ujumla. Hebu fuatilia hotuba za wazungu, waraabu, na wahindi wanavyozungumzia marginalised societies wanafanana nao.
 
Mi napenda sana waishi ivo ivo kuonyesha uhalisia wa ngozi nyeusi kwa mana mtu mweusi itafika miaka 2070 atakuwa kaisha kwa ajili ya mkorogo au kurizika kwa maisha wewe huoni mpoki anangaa kwa pesa raisi wetu wewe huoni ni pesa inavyofanya manunuzi ya masabuni mafuta ya kipesa ambazo zinaondowa uhasilia wa mwafrika.
 
mwaka Jana serikali ya India bungeni imepitisha muswada kuwatambua all the Roma/Gypsies ni raia wa India japo walihama Na kumigrate ulaya 1000 years ago wengi wao wakiishi Bulgaria Na Romania
 
mwaka Jana serikali ya India bungeni imepitisha muswada kuwatambua all the Roma/Gypsies ni raia wa India japo walihama Na kumigrate ulaya 1000 years ago wengi wao wakiishi Bulgaria Na Romania
Wamewauliza waRoma wenyewe kama wanataka kurudi India, au ni siasa tu,mbona wanawamaliza waJarawa na Sentinelese?!!
 
Siku moja nilikuwa Hyderabad Airport MTelugu mmoja akanifuata na kuongea nami Kwa KiTelugu nami sikifahamu akaniangalia nywele akajua mimi sio Mhindi. Tunafanana nao sana.
 
Na nadhani hii tabia ya kuua watu wenye 'light skin complexion' ndio imewafanya wazidi kua weusi
 
Hao wa Igunga ni Wataturu.
 
Da yan taifa kubwa kama India wameshindwa kuwapelekea ustaharabu hawa watu wamewaacha tu watembee uchi.Dah!Nimeumia sana,najua in dhambibya ubaguzi mwisho wa Sikh wakajikuta wanatembea tu pekeyao wakashindwa kufanya adaptation
Watembea uchi si hao tu weusi, kuna weupe misitu ya Amazon nao bado wanatembea uchi.
 
Huyo mtoto atakuwa ni albino,tunapiga vita mauaji ya albino,hapa unasifia mauaji.Kwa mauaji haya,inatakiwa kitendo hiki kilaaniwe na watu wa haki za binadamu dunia nzima.
Wewe umesema kweli tupu,maskini,mtoto ameuliwa,akiwa hana hatia.Hawa watu ni makatili,hawana utu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…