Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Mapiramidi ya giza yalikuwa majengo marefu duniani kwa miaka takriban 3800 mpaka lilipojengwa kanisa hili la lincoln cathedral
Lincoln_Cathedral-415x293.jpg
 
Yaani ule msemo wa "hata mbuyu ulianza kama mchicha ni kweli kabhisa" hawa jamaa walianza kujenga mapiramidi madogo madogo huku wakijaribu na kushindwa.
p03dlkr1.jpg
 
Mkuu ukisema chanzo cha watu hao weusi kuwepo hindia, ni mtumbwi wa wavuvi ulio potea baharini, unamaanisha huwo mtumbwi ulikua na wavuvi wanaume na wanawake, mimi hoja yako siiungi mkono kutokana ninavojuwa mimi, wanawake weusi hawana tabia ya kuvuwa samaki baharini na kuwinda wanyama porini, kazi hizo ni za wanaumetu.
 
Mkuu ukisema chanzo cha watu hao weusi kuwepo hindia, ni mtumbwi wa wavuvi ulio potea baharini, unamaanisha huwo mtumbwi ulikua na wavuvi wanaume na wanawake, mimi hoja yako siiungi mkono kutokana ninavojuwa mimi, wanawake weusi hawana tabia ya kuvuwa samaki baharini na kuwinda wayamanya porini, kazi hizo ni za wanaumetu.
 
Tukisema waafirika tuliwahi Utawala ulimwenguni vichwa ngumu wanabisha.Haya sasa walifikaje huko kama hawakuwa na idea ya navigation?
Kwani kuwepo huko kunamaanisha kuwa watu weusi tulitawala dunia?

Je kama mara baada tu ya kuumbwa (if u believe in creation) waliishi huko?
 
Habari za Wikendi wanaJamvi.

Bado inawaumiza vichwa sana wana Historia na wanaanthropolojia hawa watu walifikaje India kwenye visiwa vya Andaman na Nicobar? Nadharia tofauti zinadai hawa watu wa kabila linaloitwa Jarawa walisafiri kutoka Africa Mashariki Kwa mitumbwi miaka elfu 60 iliyopita na wala hawakuwa watumwa walifika pekee Yao.

Vasco da Gama kawaelezea Kwa uchache kweli walipojaribu kuweka nanga visiwani humo Karne ya 15 akielekea Goa India walikabiliwa na upinzani mkali Kwa kurushiwa mishale ikabidi waondoke.

Sasa hivi idadi Yao imeshuka wamebaki 450 tu. Serikali ya India imeamua kuwaacha waishi wanavyopenda bila bughudha na kutoruhusu watalii wowote hasa kutoka magharib ambao wanausongo sana kuwatembelea ndugu zetu hao India Kwa sabab kinga za mwilini mwao ni dhaifu na wakipata maambikiz kama magonjwa ya Surua itawafyeka.

Kuna wahindi walikuwa wanawaingiza watalii wazungu kinyemela visiwani humo nyakati za usiku ila wamekamatwana serikali ya India nakuchukuliwa hatua kali.

Mwaka huu binti wakabila hili la Jarawa alizaa mtoto chotara ikabidi wazee wanaume wa kabila hili wakizamishe baharin. Msemaji wa serikali ya India alisema hawez kuingilia mambo ya hao watu wamewaacha wajitawale wenyewe.

Vyakula wanavyokula ni mizizi, nguruwe pori, samaki na madafu sana sana.

Very interesting

Daah...huyo wa kwenye picha ya 3 ana chura yaani keshanifanya nikaenda kutafuta sabuni bafuni.
 
Back
Top Bottom