Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
28,064
Reaction score
31,401
Hali sio nzuri Ufaransa Kumekuwa na Maandamano Nchi nzima ya Ufaransa.
Kumekuwepo na Hali ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu ikiwemo Demokrasia

Polisi wanatumia Nguvu na Kupiga Raia Hovyo hovyo. Vyombo vya habari vingi Vimenyamanza na Huwasikii kabisa Kuhusu hili tofauti na Yanapo tokea Kwingineko.

Hapa tutaweka Video,Picha na Taarifa ya kila kinacho tokea Ufaransa

Hii ni Mapigano kati ya Waandamanaji na Polisi yaani Piga Nikupige
VIDEO

PICHA
Polisi walivyo wapiga Raia
IMG_20230324_165205.jpg
IMG_20230324_165159.jpg
IMG_20230324_165153.jpg
 
Na serikali ya ufaransa sijasikia ikisema wafaransa wamechonganiswa na Irani ama Urusi ili wafaransa waandamane.
Internet inafanya kazi(haijazimwa), hizi picha zipo mtandaoni kote ndiyo maaana wewe ambaye haupo ufaransa umezipata.
BBC na vyombo vingine vyote vinaripoti maandamano haya.
Ficha Upumbavu wako Huko kwingineko Ulizikosa Hizo picha
 
Israel wanaandamana hadi leo, ufaransa nako pia ni hivyo hivyo ila ambacho sijasikia ni kuwa waisrael wamedanganywa ili waandamane.
Hii ndiyo tofauti ya akili na kinyume chake.
Tunacho Kizungumzia hapa ni
Vyomba vya Mabeberu kuwa kimya
Tunacho Zungumzia Hapa ni Raia Kupigwa Acha Porojo zisizo na Kichwa wala miguu
 
Na serikali ya ufaransa sijasikia ikisema wafaransa wamechonganiswa na Irani ama Urusi ili wafaransa waandamane.
Internet inafanya kazi(haijazimwa), hizi picha zipo mtandaoni kote ndiyo maaana wewe ambaye haupo ufaransa umezipata.
BBC na vyombo vingine vyote vinaripoti maandamano haya.
Kinacho Fanywa na Polisi Nisawa
Hilo ndio Muhimu
 
Back
Top Bottom