Ndyo maana wengi tunaonekana tumbili tu unajua watu 500 au akili umeziacha chooni unaisi ufaransa hakuna vifo taarifa nyingi zimefichwa kuusu kinachoendelea pale ufaransa na yote ni sababu nchi nyingi za ulaya zinahofu kuwa kama maandamano hayo yatakuwa yanarushwa live basi kuna hatihati yakasambaa ulaya nzima ndyo maana hawayapi airtime kama yaliyokuwa yanatokea Russia au nchi nyingine za kiarabu. Na mwshirika yote ya kutetea haki za binaadamu huyasikii yakikemea maana watu wanapigwaa lkn kimya ila ingekuwa kwingine sasa kama yaliyotokea pale Georgia waliyashadadia ila ya ufaransa kimyaa alafu unajitoa ufahamu
Sasa kwa mindset hii unayotumia kukoment hapa Jf kwanini usiitwe Tumbili kamna Jaji Werema alivyomuita Yule jamaa?
Utaendelea kuitwa Tumbili na utaitwa zaidi ya ilo jina si kwasababu ya ulivyo bali namna yako ya kufikiri ndiyo inafanya uitwe Tumbili.
Haki ya Mungu tena, Utaendelea kuitwa tumbili!!.
Ufaransa wanaandamana kwasababu serikali yao imeongeza muda wa kustaafu toka miaka 62 hadi 64.
Sasa kwa akili yako ya kitumbili nini kimefanya uwaze kuwa ulaya inaficha maandamano ya ufaransa ili yasisambae ulaya nzima?.
Wafaransa hawaandamani kwasababu ya ukosefu wa ajira ama huduma mbovu za kijamiii, wanaandamana kwasababu ajira zao zimerefushwa toka 62 hadi 64, ila wewe Tumbili unasema ulaya wanaogopa haya maandamano yanaweza kuenea ulaya nzima. Ni lini na umejuaje kuwa ongezeko la miaka 2 katika ajira si hitaji la raia wengine wa nchi za ulaya nje na ufaransa Hivyo hadi useme wapo tayari kuandamana kama wafaransa endapo habari hii itawafikia?.
Kwa akili za kitumbili ndiyo unaamini polisi wa ufaransa wanaweza ua waandamanaji then wakaficha hiyo habari isijulikane.
Kwa akili za kitumbili ndiyo unaamini BBC, CNN, ALJAZIRA, NBC etc hazitangazi maandamano ya ufaransa wakati si wengine tunayapata matangazo kila leo.
Kwa akili za kitumbili ndiyo unaaamini raia wa ulaya hawajui habari ya maandamano ufaransa kwasababu ya vyombo vya habari zimefungwa ila we jamaa wa Ingunga unajua kila hatua ya maandamano hayo.