Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Na Kwa taarifa yenu protests ni civil rights ya muhimu huko Ulaya na north America, protests hazijaanza France Tu, Holland maandamano yamefanyika kwa miezi miwili mfululizo mwaka jana, Belgium, UK maandamano na migomo mpaka sasa vinaendelea kwa wafanyakazi wa umma na vyama vyao.
Canada kulikuwa na truckers protests na migomo ya kupinga covid restrictions mwaka jana, Marekani mwaka juzi maandamano nadhani yalikuwa mengi na wote alishuhudia, so maandamano si suala la kushangaa nchi hizo za wenzetu ni haki ya wananchi ,mnapaswa mshangae nchi zenu ambazo zinawanuima wananchi haki ya kuandamana na kuprotest madai yao na mambo yanayowagusa.
Germany kuna maandamano na migomo ya wananchi na wafanyakazi yamefanyika na kesho yanaanza tena.
Hizo ni haki za wananchi na ni haki kuandamana na kufanya migomo, suala la kujiuliza ni je ingefanyika hivyo shithole countries kama Russia, china, Iran, north Korea na Afrika tusingeshuhudia massacre?