Kwan ni uongo?! Unapoona maandamano taifa lingine utaona huyo mpumbavu Marekani ndio mstari wa kwanza kuanza kuongea pumba zake kusema atawekea vikwazo serikali ya taifa husika kwa kukiuka haki za binadamu.
Haya mbona hapo hatuoni akitoa tamko au kusema atawekea vikwazo serikali ya Ufaransa?
Ngoja nikupe mfano unaomfoutisha fala anaetafuta negativities na kuongozwa na mihemko zaid na mtu anae angalia uhalisia.
George Floyd alikufa kwa kifo Cha Kuwekewa goti la shingo na askari hadi uhai wake ukakoma pale pale.
Tukio ilo likaibua hasira kubwa, maandamano makubwa na vurugu juu. Askari wakamatwa hadi leo wamefugwa na zaidi waandamanaji wakataka Rais wa wakati huo a-step down.
Serikali ya Marekani haikuraumu mataifa ya nje kuchochea ama kusababisha maandamano hayo.
Wakati wa maandamano hayo internet haikuzimwa, hakuna muandamaji alieuwa, vyombo vyote vya habari viliripoti tukio ilo..dunia nzima ikajua kuwa George kawekewa goti la shingo hadi akafa.
* * ' *
Baada muda fulani tukio lenye taswila kama hiyo kikatokea Iran.. Binti mdogo(sijui ni kwa bahati mbaya ama maksudi) hakufinika kichwa chake kama sheria ya nchi inavyomtaka.. Askari kanzu wakamkata wakampiga hadi akafia mikono mwao the same ilivyotokea kwa George uko Marekani.
Kifo cha binti huyo kikazua maandamano uko Irani.. Serikali haikuomba radhi, askari kanzu waliofanya ilo tukio hawakuchukuliwa atua yoyote, hadi leo wapo huru tofauti kabisa na waarifu waliochukua uhai wa George uko Marekani.
Baada ya maandamano kukolea serikali ya Iran ikairaum marekani na Israel kwa kusababisha maandamano.. ikaaingiza wadunguaji na askari wengine wenye silaha wakaingia barabarani na zaidi ya watu Mia 2 wamekufa kutokana na maandamano hayo.
Kitendo cha vyombo vya habari kuripoti maandamano ya Iran ikaonekana ni uchochezi ila wakati vyombo hivyo vinaripoti tukio la George haikuwa uchochezi.
Leo ufaransa ipo katika maandamano, hakuna hata kifo Cha mtu mmoja ila kuna watu wametolewa ngeu na mashati kuchanika mmekuja kuanzisha nyuzi et mbona marekani haiongei.
Ikiwa insu ni kuongea ama kutongea mbona uhoji maandamano ya Odinga ama ya Malema?
Kuwa emotional kutafuta negativities kumewapofushani.. Ndiyo maana umekaza fuzu kutafuta ulinganisho kwenye sifuri.