Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Screenshot_20230326-122026.png
 
Hakuna Mgogoro Dunian Ukatokea Hao wasihusike
Hao ni Vihelehele kwa Yasio wahusu
Ndio maana wanalalamikiwa
Uchina Urusi Hawanaga Muda na Mambo yasio Wahusu ndio Maana Wanapigania Uhuru wa Dunia yaani kila Taifa liwe na Uhuru wake kamili sio kupangiana.
Yanapo tokea maandamano Kwingine hao huwa wakwanza Kutoa matamko kutwa
Ona ulivyojiumbua!! Hii koment ndiyo ilipaswa iwe uzi wako na si ulichokiandika hapo juu.. Hayo mapicha na mavideo uliyoyaokota mtandaoni ilikuwa geresha na kutafuta kuteka akili za wasiotumia akili.

Kwanini uone uhalali wa wafaransa kuandamana, nchi ambayo raia wake wanapata huduma zote za kijamii kwa ufasaha, wana uhuru wa kuandamana na kutoa maoni na kukosoa serikili yao at the same time uoni haki ya kuandamana kwa raia wa iran(nchi ya ulimwengu wa 3) huduma za kijamii ni duni, hakuna haki ya kutoa maoni wala kumkosoa kiongozi wao.. Ikitokea wameandamana inakuwa wamedanganywa!!.
Kwa akili ya komavu, nchi za ulimwengu wa 3 ndiyo zilipaswa kuwa na maandamano yasiyo na Kikomo kwa maana viongozi wao wanawanyonya zaidi wananchi wao.
 
Uelewa wako Nimdogo sana
Maandamano Nihaki yakila Raia na Kila Taifa
Jambo lilipo hapa nikwanini Yanapotokea Maandamano Kwingineko Hayo mataifa husema Wanaungana na Raia na Kuunga Mkono hayo Maandamano
Ikiwapo kutoa Onyo Kuhusu Raia Kupigwa au Polisi kutumia Nguvu
Swali ni jeKwanini Ufaransa Yanatokea na Hatusikii Yale matamko wanayo yatoa kwa nchi zingine?
Na Unakubariana na Kinacho fanywa na Polisi wa Ufaransa kupiga Raia?
Mbona Hatusikii Onyo kwa Ufaransa?
 
Kwa hiyo maandamano ya Iran hayakuripotiwa na vyombo vya habari?

Iran ilisema nchi za Magharibi zinahusika na maandamano kwasababu nchi zote za Magharibi zilitoa tamko la kuunga mkono waandamanaji lakini mpaka sasa hatujasikia Iran ikiwaunga mkono waandamanaji wa ufaransa.
Hii hali ikitokea Uganda na Vile walivyo Gomea Ushoga Sijui Itakuwaje
 
Uelewa wako Nimdogo sana
Maandamano Nihaki yakila Raia na Kila Taifa
Jambo lilipo hapa nikwanini Yanapotokea Maandamano Kwingineko Hayo mataifa husema Wanaungana na Raia na Kuunga Mkono hayo Maandamano
Ikiwapo kutoa Onyo Kuhusu Raia Kupigwa au Polisi kutumia Nguvu
Swali ni jeKwanini Ufaransa Yanatokea na Hatusikii Yale matamko wanayo yatoa kwa nchi zingine?
Na Unakubariana na Kinacho fanywa na Polisi wa Ufaransa kupiga Raia?
Mbona Hatusikii Onyo kwa Ufaransa?
"Maandamano Nihaki yakila Raia"..
Hii haki ya kuandamana haijavunjwa uko ufaransa, hipo na ndiyo inafanya waandamanaji wawe barabaran hadi leo.
Ikiwa serikali ya ufaransa imesema hakuna maandamano hapo utakuwa na hoja ili hizi zingine ni ngonjera tu.
 
Sasa kama ni haki yao kuandamana wann wana wapiga na kuwarushia mabomu ya machozi?
Sasa hapo wana tofauti gani na Iran unayo iita madekteta?
 
Jibu au toa Mawazo kuhusi Hicho alicho Kiuliza Acha Ngonjera

Nichangie maoni yangu kwa mtu anae ashumu ikiwa makroni ataingiza silaha kuua waandamanaji mtaani?
Ikiwa ufaransa imehamia Afrika ama mashariki ya kati nitakuwa maoni ila kwakua ufaransa bado ipo ulaya mi nachagua kumpuuza mwenye ilo swali.
Kwa nchi za Ulaya ni ngumu rais kuingiza jeshi/silaha ili kuua waandamanaji kama alivyofanya Gaddafi,never.
Utasubiri sana ilo tukio ili uje uamzishe uzi ila halitatokea.
 
Ona ulivyojiumbua!! Hii koment ndiyo ilipaswa iwe uzi wako na si ulichokiandika hapo juu.. Hayo mapicha na mavideo uliyoyaokota mtandaoni ilikuwa geresha na kutafuta kuteka akili za wasiotumia akili.

Kwanini uone uhalali wa wafaransa kuandamana, nchi ambayo raia wake wanapata huduma zote za kijamii kwa ufasaha, wana uhuru wa kuandamana na kutoa maoni na kukosoa serikili yao at the same time uoni haki ya kuandamana kwa raia wa iran(nchi ya ulimwengu wa 3) huduma za kijamii ni duni, hakuna haki ya kutoa maoni wala kumkosoa kiongozi wao.. Ikitokea wameandamana inakuwa wamedanganywa!!.
Kwa akili ya komavu, nchi za ulimwengu wa 3 ndiyo zilipaswa kuwa na maandamano yasiyo na Kikomo kwa maana viongozi wao wanawanyonya zaidi wananchi wao.
Iran ni Ulimwengu wa 3 ?
Ngoja nikutajie baadhi ya nchi za ulimwengu wa 3.
Kenya
Tanzania
Zimbabwe
Iran yupo kundi moja na hao?

Wana haki ya kuandamana?
Mbona wanadundwa sasa, si wawaache waandamane
 
Sasa kama ni haki yao kuandamana wann wana wapiga na kuwarushia mabomu ya machozi?
Sasa hapo wana tofauti gani na Iran unayo iita madekteta?

Upo hapa kwa ajiri ya negativities tu na si uhalisia.
Rungu, gesi havikosekani katika maandamano koz si kila mtu yuko pale kwa ajiri ya kuandamana, kuna wengine maandamano hayo ni opportunity ya ku gain kitu fulani.
Then weka idadi ya vifo vya maandamano ya ufaransa...................
 
Si, Irani tu hadi China bado ni ulimwengu wa tatu.
Nini kinaifanya Iran kuwa Ulimwengu wa tatu?
Tukianza na Origin ya neno
During cold war
1st World- US and her allies, Iran alikuwa first world.
2nd World- Russia and her allies.

3rd World- Nchi zisizofungamana na upande wowote.
Baada ya Cold war, 3rd world imetumika kudescribe nchi zinazoendelea, neno sahihi likiwa ni " developing countries".
Iran imekwisha endelea, ni middle income country.
Kama unaweza ukawa na hoja kwanini unaiita Iran " 3rd world country" ?
 
Back
Top Bottom