Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Kabisa Yaani Imetumika Mbinyo mkubwa wa Habari kwa kuwa ni wao
Haswa. na utaja sikia, yanayotokea huko kenya...."ni ya kinyama" " polisi kazi yao ni kuwaprotekti raia" na hapa bongo utasikia 'wanaleta mafarasi na marungu' 'katili yule' n.k ....kwa kweli exposure wa taarifa za ndani na nje inakufungua na kulugeza mgando wa Akili 'zinachangia na za kwako' !
 
Na serikali ya ufaransa sijasikia ikisema wafaransa wamechonganiswa na Irani ama Urusi ili wafaransa waandamane.
Internet inafanya kazi(haijazimwa), hizi picha zipo mtandaoni kote ndiyo maaana wewe ambaye haupo ufaransa umezipata.
BBC na vyombo vingine vyote vinaripoti maandamano haya.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hakuna Mgogoro Dunian Ukatokea Hao wasihusike
Hao ni Vihelehele kwa Yasio wahusu
Ndio maana wanalalamikiwa
Uchina Urusi Hawanaga Muda na Mambo yasio Wahusu ndio Maana Wanapigania Uhuru wa Dunia yaani kila Taifa liwe na Uhuru wake kamili sio kupangiana.
Yanapo tokea maandamano Kwingine hao huwa wakwanza Kutoa matamko kutwa
Hivi dunia bila mataifa yasiyostaarabika ingekuwa sehem salama??
 
Uelewa wako Nimdogo sana
Maandamano Nihaki yakila Raia na Kila Taifa
Jambo lilipo hapa nikwanini Yanapotokea Maandamano Kwingineko Hayo mataifa husema Wanaungana na Raia na Kuunga Mkono hayo Maandamano
Ikiwapo kutoa Onyo Kuhusu Raia Kupigwa au Polisi kutumia Nguvu
Swali ni jeKwanini Ufaransa Yanatokea na Hatusikii Yale matamko wanayo yatoa kwa nchi zingine?
Na Unakubariana na Kinacho fanywa na Polisi wa Ufaransa kupiga Raia?
Mbona Hatusikii Onyo kwa Ufaransa?
Kwani hayo mataifa unayolalamikia kutoa tamko ni nani au wanaumuhimu gani mpaka watoe tamko??kwamba kila wanachosema ni sahihi au??
 
Israel wanaandamana hadi leo, ufaransa nako pia ni hivyo hivyo ila ambacho sijasikia ni kuwa waisrael wamedanganywa ili waandamane.
Hii ndiyo tofauti ya akili na kinyume chake.
serikali za kijinga huwa hazion makosa kutwa kutupia wengine wa mbali lawama
 
Tunacho Kizungumzia hapa ni
Vyomba vya Mabeberu kuwa kimya
Tunacho Zungumzia Hapa ni Raia Kupigwa Acha Porojo zisizo na Kichwa wala miguu
wewe umejuaje? au unahisi wangetaka usijue wangeshindwa , kuzima internet km Iran
 
Yaani imekuuma Sana Sindio
Yalitokea Maandamano kama hayo Ukrein 2014
Ulisikia Marekani ,France na UK walicho Kisema
Kwanini leo wapo kimya?
kama hawaja tajwa kwann waseme ? huko kwingine tumeona wakitupa lawama kwa USA au Ulaya kuwa ndo chanzo cha maandamano ,ukifikia huko lzm ujibiwe ila wenzenu wanamaliza matatizo yao wenyew bila kutupa lawama kwa wengine
 
Kifupi Wanasema Mkuki kwa Nguruwe Binadamu Mchungu
Hii dunia haipo sawa kabisa Usawa Haupo.
Haya yakitokea Africa Inakuwa ndio Mada topic 24/7
Haki za Binadamu Kimyaaa
inakuwa topic sabab huwa mnapenda kusema wao ndo wamewashawish wananchi wenu kuandamana
 
Back
Top Bottom