Kwani Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo inasemaje?
Kama magazeti yalifungiwa inakuwaje hawa wasanii wasio na maadili wanaachwa kueneza upuuzi mitandaoni?
Kama ni kweli Wizara husika /basata ifanye kazi yake ili kukomesha kiki zisizo na staa /utu na kudhalilisha.
Hii sio sawa, ni ujinga kukubali au kushabikia ujinga uenee kwa kasi.
Nini funzo kwa vijana wetu,hata kama ni kuimalisha BRAND hii haiwezekani.
Bora wangejitoa kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu kusaidia wasiojiweza, hilo nalo wameshindwa?