Uchaguzi 2020 Video: Nabii Shilla akiwa kwenye harakati za kikamanda za kutafuta wadhamini huko Kilombero

Uchaguzi 2020 Video: Nabii Shilla akiwa kwenye harakati za kikamanda za kutafuta wadhamini huko Kilombero

Tatizo kubwa sana la CHADEMA kama chama kwa ujumla wake wanapenda sana kuishuari serikali na ushauri wao ukikataliwa na serikali watapiga kelele kuanzia mwenyekiti mpaka mwanachama wao wa mwisho chini kabisa. Ila wao ukiwashauri badala aidha waukubali shauri wako au waukatae matokeo yake utakoga matusi ya kila aina. Hawapendi kabisa kuambiwa ukweli sijui nani kawaloga.

Ki ukweli Vetting ya Chadema aliondoka nayo Dr. Slaa. Nilikuwa naiona CHADEMA kama taasisi kubwa sana kwa miaka takribani 10 iliyopita lakini nimekuja kugundua tofauti kabisa na ninavyozani baada ya kuwaona wanavyomshangilia huyu jamaa mitandaoni. Nilitegemea mpaka sasa kuwa CHADEMA iwe imeshaandaa kizazi kingine makini cha kuwasaidia wakina Halima Mdee, Mnyika, Heche, n.k. Kwenye uchaguzi wa mwaka huu wakiendelea kuokotaokota kama walivyoanza sasa wajiandae na anguko kubwa sana litakalotokana na wagombea wao wengi kujitoa dakika za mwishoni na kuwaacha wapinzani wao kupita bila kupingwa. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho aone.
Well said Brother yaani umemaliza kila kitu, mimi nimeshawapuuza kabisa na nimeamini Tanzania hakuna Chama mbadala ni majizi tu yote
 
Huyo ni mtia nia njoo na mgombea wako mlete uchafu wa Shilla kwenye vikao ajadiliwe , vinginevyo hizi zitakuwa porojo tu
Si bure wewe pia mla ruzuku na upo humu kwa kazi maalumu ila ndiyo ujue biashara yenu wachaga imekwisha. Tuliwatetea tukadhani mna Chama kumbe majizi tu
 
Si bure wewe pia mla ruzuku na upo humu kwa kazi maalumu ila ndiyo ujue biashara yenu wachaga imekwisha. Tuliwatetea tukadhani mna Chama kumbe majizi tu
Huku kwenye ukabila nilijua utafika tu .
 
endelea kuunga mkono Chadema ni chama makini sana , Dr Slaa uliyemuabudu alinunuliwa na kuhongwa ubalozi , na hivi tunavyoongea yuko chama kimoja na Sumaye na Lowassa aliodai kuwakimbia Chadema
Ila wewe tapeli sana 😂😂😂
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
[chadema imeshajifia siku nyingi
 
unaota..huyo anajisumbua..aendelee na kazi yake ya kitapeli ya unabii
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
hafiki popote huyo mkuu wala usipate shida
 
Back
Top Bottom