Uchaguzi 2020 Video: Nabii Shilla akiwa kwenye harakati za kikamanda za kutafuta wadhamini huko Kilombero

Uchaguzi 2020 Video: Nabii Shilla akiwa kwenye harakati za kikamanda za kutafuta wadhamini huko Kilombero

Huyo ni mtia nia njoo na mgombea wako mlete uchafu wa Shilla kwenye vikao ajadiliwe , vinginevyo hizi zitakuwa porojo tu
Tatizo lenu CDM hamjifunzi, hichi kitoto ni kijinga na kinapenda umaarufu tu. Lakini kwasbbu mnapenda pesa, najua kwenye hivyo vikao vyenu atapitishwa tu. Ila ifakara hapiti, lile jimbo mmeshalipoteza.
 
sasa si ndio vizuri ili ccm ishinde !
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
Tulieni nguruwe wa CCM dawa iwaingie fresh
 
Mkuu hakuna lililo kosa mwisho.
Na mwisho unaweza kuwa ni kuondoka kwako na wengine na kuiacha CCM ikitawala! Mwisho sio lzima uwe wa CCM unaweza kuwa hata wa vyama vingine ikiwa ni pamoja na hivyo mnavyo dhani vinaweza kumbe vinawezeshwa na walio nje.
 
Back
Top Bottom