Uchaguzi 2020 Video: Nabii Shilla akiwa kwenye harakati za kikamanda za kutafuta wadhamini huko Kilombero

Well said Brother yaani umemaliza kila kitu, mimi nimeshawapuuza kabisa na nimeamini Tanzania hakuna Chama mbadala ni majizi tu yote
 
Huyo ni mtia nia njoo na mgombea wako mlete uchafu wa Shilla kwenye vikao ajadiliwe , vinginevyo hizi zitakuwa porojo tu
Si bure wewe pia mla ruzuku na upo humu kwa kazi maalumu ila ndiyo ujue biashara yenu wachaga imekwisha. Tuliwatetea tukadhani mna Chama kumbe majizi tu
 
Si bure wewe pia mla ruzuku na upo humu kwa kazi maalumu ila ndiyo ujue biashara yenu wachaga imekwisha. Tuliwatetea tukadhani mna Chama kumbe majizi tu
Huku kwenye ukabila nilijua utafika tu .
 
endelea kuunga mkono Chadema ni chama makini sana , Dr Slaa uliyemuabudu alinunuliwa na kuhongwa ubalozi , na hivi tunavyoongea yuko chama kimoja na Sumaye na Lowassa aliodai kuwakimbia Chadema
Ila wewe tapeli sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
[chadema imeshajifia siku nyingi
 
unaota..huyo anajisumbua..aendelee na kazi yake ya kitapeli ya unabii
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
hafiki popote huyo mkuu wala usipate shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…