Tatizo lenu CDM hamjifunzi, hichi kitoto ni kijinga na kinapenda umaarufu tu. Lakini kwasbbu mnapenda pesa, najua kwenye hivyo vikao vyenu atapitishwa tu. Ila ifakara hapiti, lile jimbo mmeshalipoteza.Huyo ni mtia nia njoo na mgombea wako mlete uchafu wa Shilla kwenye vikao ajadiliwe , vinginevyo hizi zitakuwa porojo tu
sasa si ndio vizuri ili ccm ishinde !Tatizo lenu CDM hamjifunzi, hichi kitoto ni kijinga na kinapenda umaarufu tu. Lakini kwasbbu mnapenda pesa, najua kwenye hivyo vikao vyenu atapitishwa tu. Ila ifakara hapiti, lile jimbo mmeshalipoteza.
Wivu tu, acha tuendelee kupetaCCM bila ya Rushwa kilechama kingekuwa kimeshakufa zamani sana.ila mwisho wake unakuja.
Kwahiyo, nyie nia yenu ni CCM ipitesasa si ndio vizuri ili ccm ishinde !
Tulieni nguruwe wa CCM dawa iwaingie freshIla hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
πππ endeleeni kupeta tu hakikisha hamuachi chuya.Wivu tu, acha tuendelee kupeta
Mkuu hakuna lililo kosa mwisho.endelea kusubiri mkuu hadi kiama
Na mwisho unaweza kuwa ni kuondoka kwako na wengine na kuiacha CCM ikitawala! Mwisho sio lzima uwe wa CCM unaweza kuwa hata wa vyama vingine ikiwa ni pamoja na hivyo mnavyo dhani vinaweza kumbe vinawezeshwa na walio nje.Mkuu hakuna lililo kosa mwisho.