McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu
Nimekutana na video hii huko mtandaoni.
Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF
Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa kabisa kujieleza.