Uongozi thabiti uliondoka na nyerere,mwinyi na mkapa, hawa wahuni waliobaki wamegeuza uongozi ni kama sehemu ya kufanyia maigizo hawapo serious kabisa na uongozi bila kujali madhara ya hao viongozi kwenye jamiiWakuu
Nimekutana na video hii huko mtandaoni.
Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF
Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa kabisa kujieleza.
SawaWakuu

Wakuu