Video: Ndege inayoaminika kubeba kundi la Wagner 140 yalipuka Mali, Afrika

Video: Ndege inayoaminika kubeba kundi la Wagner 140 yalipuka Mali, Afrika

Jamani hivi hamuoni iyo video iko edited, yaan wakati inatembea na kutoa vumbi fasta kuna kama 'cut ya video' ya millisekunde na kuonekana moto?

Jamani angalieni tena ivyo video kwa umakini zaidi bila kupepesa macho.
Upo sahihi, hakuna ajali
 
Hao Mali wanalalamikia vikundi vya kigaidi vya kiislam wakati tena wanashirikiana na Wagner ambao ni magaidi vilevile sasa wanafanya nini.

Wanaruka mkojo na kukanyaga kinyesi. Bure kabisa.
Wagner watawapumulia hapo kwenye kidogo
 
Jamani angalieni tena ivyo video kwa umakini zaidi bila kupepesa macho.
Daily Mail tu ndiyo wameona tukio hilo!! Sijui wanatuonaje?

Nitaridhika nikipata habari hii kutoka kwenye chanzo cha habari "impartial "
 
Hivi ni sababu gani ya Wagner kuruhusiwa kuendelea na operation zao huku Afrika? Ni kweli kuwa hizo nchi hawajui kuwa Wagner wanaweza kuwapindua?
Wagner ni askari wa kukodi tu
 
Back
Top Bottom