The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Hawafiki August ni kusanyiko la matapeli tupuHawa watapoteana kama panya muda utasema.
Chaumma haina Kanda labda kama wamekopi kanda za Chadema?Wakuu
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini.
Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu, wakihutubia wanachama na wananchi kwenye mikutano ya hadhara.
View attachment 3353423e
Edwin Gavana 😂😂😂T 472 AET naona wamechukua gari ya tour kutoka........😃
Baada ya, uchaguzi, kitaendelea kuwepo? Well, pale walamba asali, watakapo kuwa, wamekabidhiwa mzinga kabisa, wapo bungeni wanakula per diem, 250K, kila siku!Wakuu
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini.
Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu, wakihutubia wanachama na wananchi kwenye mikutano ya hadhara.
View attachment 3353423e
Wakuu

ACT 2014-15 walianza na mikogo kuliko hao, lengo ilikuwa ni kiua cdm, hadi leo bado ACT iko kwenye vyombo vya habari zaidi na mkoani Kigoma anakotekea Zito kwa huku Bara. Huko Znz ACT haiko kwa ajili ya sera, bali uadui wa wapemba na ccm. Chauma waje tu watausoma mziki vizuri wakiwa kwenye game.Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini.
Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu, wakihutubia wanachama na wananchi kwenye mikutano ya hadhara.
View attachment 3353446
View attachment 3353444
Wamekodi gari ya tour 🤣😁🤭Wakuu
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini.
Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu, wakihutubia wanachama na wananchi kwenye mikutano ya hadhara.
View attachment 3353423e
Nashaur wakionekana popote WAPIGWE MAWE.Wamepata wapi hela hawa watu?
TissT 472 AET naona wamechukua gari ya tour kutoka........😃
Kwanini usiseme watapoteana kama Chadema?Hawa watapoteana kama panya muda utasema.