Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Mbona kama gari la wataliiWakuu
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini.
Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu, wakihutubia wanachama na wananchi kwenye mikutano ya hadhara.
View attachment 3353423e
