PreGE2025 Video: Ndinga la CHAUMMA linatarajiwa kutumika ziara za mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
watanzania kwa sasa wanajitambua sana... Hii biashara wairudishe miaka ya 2000!
 
Huo ukombozi wa umma ukoje? Je ni Umma upi? Na ukombozi kwa njia gani?
 
Chadema wanatishika na kuumia sana mioyoni wakiona mambo kama haya , sijui kwanini aise 🐒
 
Juhudi za CCM kuyahadaa mabeberu yaamini kuwa chadema imekufa sasa Kuna chama kipya cha upinzani na chenye nguvu, CCM mnapoteza pesa Bure,
 
Waangalie wasije wakapopolewa mawe
 
Mbona zile kuukuu za Arusha?
 
Kazi imeanza, chama kinajengwa mtaa kwa mtaa. Magari ya kisasa kuchanja mbuga.
 
Pesa haikutosha mpaka wanachukua AG,nilidhani vyuma vipya!
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.


Kazi imeanza, chama kinajengwa mtaa kwa mtaa. Magari ya kisasa kuchanja mbuga.
View attachment 3354506

Kazi imeanza, chama kinajengwa mtaa kwa mtaa. Magari ya kisasa kuchanja mbuga.
View attachment 3354506
Mwaka huu lazima uwehuke.

CHAUMMA maigizo yao yamekataliwa.


Ukirudi kwenu Lumumba unamkuta Gwajima

Ukirudi CHADEMA inakukosesha amani.

Utatumika kama toilet paper na huyo mama yenu akishatoka hapo kwisha habari yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…