Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Katoa na mguu wa kuku ili rushwa inoge zaidi..😂Naona amepewa rushwa ila bado haridhiki
Katoa na mguu wa kuku ili rushwa inoge zaidi..😂
Kwa namna polisi alivyozungukwa ni rahisi sana kumnyang'anya hiyo bastola yake!Wanatoaga Bastola haraka sana ndio maana inakuwa rahisi kuwanyang'anya.
Hii kitu mbaya sana, naona hao watu washachoka na wanaonekana wako tayari kwa lolote
Serikali ingeunda kitengo maalum kinachojitegemea kupokea malalamiko
Dhuluma, yanayofanyika na police
Malalamiko yote yapelekwe huko
ova
Huyo uliyemtaja ndio aliharibu kabisa maana ndio aliwaongezea kiburi na uonevu ndio ulizidi sana.Hali ni mbaya sana. Hakika kifo cha JPM kimeacha vacuum kubwa sana.
Things have fallen apart
Yule aña moyo wa yesu, Kuna watz wengine wanataman kufanya kama yeye labda polis wabadilikeUpumbavu ulianza pale mkuu wa nchi kuwatetea askari kwamba rushwa wanazopewa ni za kusafishia viatu, baada ya hapo askari wakaanza kutumia kama kitengo cha kukusanya mapato ya serilali (Polisi kuwa kitengo cha TRA). Hapo ndio taifa lilipoteza muelekeo.
Hamza amejitoa uhai wake ili kuonesha dunia kwamba nchi hii wanyonge wanavyoonewa na askari polisi. Dogo kafa kiume.