Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

1630045965_1630045965-picsay.jpg
 
Hii kitu mbaya sana, naona hao watu washachoka na wanaonekana wako tayari kwa lolote

Serikali ingeunda kitengo maalum kinachojitegemea kupokea malalamiko

Dhuluma, yanayofanyika na police

Malalamiko yote yapelekwe huko

ova
 
Upumbavu ulianza pale mkuu wa nchi kuwatetea askari kwamba rushwa wanazopewa ni za kusafishia viatu, baada ya hapo askari wakaanza kutumika kama kitengo cha kukusanya mapato ya serilali (Polisi kuwa kitengo cha TRA). Hapo ndio taifa lilipoteza muelekeo.

Hamza amejitoa damu yake na uhai wake ili kuonesha dunia kwamba nchi hii wanyonge wanavyoonewa na askari polisi. Dogo kafa kiume.
 
Upumbavu ulianza pale mkuu wa nchi kuwatetea askari kwamba rushwa wanazopewa ni za kusafishia viatu, baada ya hapo askari wakaanza kutumia kama kitengo cha kukusanya mapato ya serilali (Polisi kuwa kitengo cha TRA). Hapo ndio taifa lilipoteza muelekeo.

Hamza amejitoa uhai wake ili kuonesha dunia kwamba nchi hii wanyonge wanavyoonewa na askari polisi. Dogo kafa kiume.
Yule aña moyo wa yesu, Kuna watz wengine wanataman kufanya kama yeye labda polis wabadilike
 
Lakini hiyo video ni ya mda mrefu na ni ya huko Kenya Ila ukweli ni kwamba majeshi yetu yaboreshwe na Kama mtu anaona hawezi bila hongo aachie ngazi
 
Back
Top Bottom