Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

Kwanini alie..? Why ulitaka upewe plot ya bure osterbay au masaki we jamaa mbona sikuelewi..? Unajua kwanini wabongo wanakimbilia south..? Nyie wazawa tangu 1980s mmeboresha nini kwenye hiyo mitaa..?
Wamegawana nyumba za serikali then wamewapa wachina kujenga maghorofa. Huoni ni maboresho makubwa?
 
mtu mweusi hua ni mbaguzi sema ngozi yake inakua kama kinga ikiguswa. kwa marekani wanaita reverse racism.

ulichoandika hapa unaonesha wewe ni mbinafsi na mbaguzi

hiyo mitaa uliyotaja hakuna wachina wengi kias hiko umekuza jambo ili upate attention
kwa uchumi wetu , inapaswa iwekwe mipaka ya wageni kufanya biashara , sio kila biashara mgeni anatakiwa kufanya , hata China ilipoanza kusimama walifany hv
 
Kuna kipindi walianzisha hadi kituo cha polisi cha wachina huko Manhattan, baadae kikafungwa

Imagine what they would do kwa nchi kama Tanzania ambayo intelligence na usalama tumezidiwa kila kitu na Marekani
1741989818979.png

1741989835853.png
 
Wachina wako hivi, wapokuwa mahala hupenda kuishi kwa amani na utulivu mkubwa, itakapojitokeza dosari huitolea taarifa, wanapokosa msaada wowote, tutatua tatizo!, in fact hutatua tatizo, kulalama kama unaibiwa na wezi Huku ukikosa msaada wowote, hakujawahi kuwa msaada. (kwa kufungua kituo cha polisi walikosea, wangesajili kampuni ya ulinzi)
 
Wakuu,

Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.

Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.

Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.

Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao

Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu

Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.

Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Mkuu naongezea,Oysterbay karibu na Morogoro Store kuna Jengo kubwa sana liko katika hatua za mwisho ni la wachina, ilo jengo liko barabarani kabisa, ile barabara ya kuelekea Coco beach ukiwa unatokea Msasani
Noble centre Victoria ni la wachina pia , Ukienda Keko Go down la Monalisa ni la wachina

Hawa jamaa wana speed sana
 
kwa uchumi wetu , inapaswa iwekwe mipaka ya wageni kufanya biashara , sio kila biashara mgeni anatakiwa kufanya , hata China ilipoanza kusimama walifany hv
Biashara ?; Sio kwamba tutunze Commanding Heights kama Bandari, Tanesco, na pamoja na watu binafsi kufanya usafiri na real estate lakini pia tuwe na kina mwendokasi, SGR na National Housing (UMMA) ili vishindane na mlaji apate value for money ?

Kwamba ili muuzaji middleman apate chumvi mimi mnunuzi ninunue mara tatu ya bei eti kumlinda mlanguzi ? Kama kweli tunajenga nchi kwanini tusihakikishe huyu mlanguzi aende kuchimba chumvi badala ya wote kungangania kuwa wauza chumvi (wachuuzi) ?

Haya mambo tunayachukulia vice versa mwisho wa siku ni mlaji wa mwisho (na ndio majority) ndio inabidi apate vitu as affordable as he/she can get...

Ni kweli kama vitu tunaweza kufanya wenyewe tupewe priority (after all ujira ni muhimu) ila kama kuna watu they can do something better labda tuwaachie hao wafanye na sisi tujikite tunapoweza at any given time (Point yangu kuu tunaona ni Sawa kugawa Bandari na Tanesco kwa watu ili watuuzie Huduma) alafu tunalalamika na kutumia nguvu nyingi kwamba mchina ametunyanganya fursa ya kuwa winga; na kama issue ya restaurant je ni bora mchina ndio auze chiniese food au wewe msukuma ndio ufungue hio (kumbuka haujakatazwa kuifungua) na hivi vitu sio essentials (hulazimishwi kula restaurant); hivyo nguvu zetu tungehakikisha tunaziweka kwenye commanding heights of country economy na sio kule tunaachia alafu tunabanana huku kwa kulalamika huyu amechukua fursa yangu ya kuwalangua wananchi wenzangu
 
Umenga'ng'ania wachuuzi wakati kuna wachangiaji wengi huko juu wamesema hao wachina wako kwenye real estate, uchimbaji mdogomdogo wa madini, wanamiliki malls na maduka kibao pamoja na sekta nyingine nyingi.

Ushasema wewe ni so called "globalist" so usha-pick side.

Tulia, usisumbue watu
 
Wachina wako hivi, wapokuwa mahala hupenda kuishi kwa amani na utulivu mkubwa, itakapojitokeza dosari huitolea taarifa, wanapokosa msaada wowote, tutatua tatizo!, in fact hutatua tatizo, kulalama kama unaibiwa na wezi Huku ukikosa msaada wowote, hakujawahi kuwa msaada. (kwa kufungua kituo cha polisi walikosea, wangesajili kampuni ya ulinzi)

Soma walichokuwa wanawafanyia wazungu Los Angeles na London kwenye hizo Chinatowns to the point where ikabidi wazungu waanze kupeleka "mashushu" kudhibiti uhalifu.

You just love chinese people na unaongelea mambo unayoyaona SASA hivi.

Uzi huu utaukumbuka after 30 years pale ambapo bongo kutakuwa hakuna maduka, mtafosiwa kununua vitu supermarkets ambazo zote zitakuwa zinamilikiwa na zina majina ya KICHINA
 
Knows na vunjabei Too Much Money wametajirika kwasababu ya kwenda china.

Swali ni je, Vunja Bei ana maduka mangapi ya nguo huko China?

Je anaweza kuamua kukodi nyumba na kuanzisha kiwanda kidogo ndani ya hiyo nyumba kama ambavyo Wachina wanafanya?
 
Kwahiyo umejiona jinsi ulivyokua mjinga sorry to say this " ulikosa maarifa kidogo tuu

Toka nje ya bongo ubongo wako ufunguke uone dunia ilivyo huko nje

Mkuu umeandika zaidi ya messages tano kwenye uzi wangu nimeamua kukupuuza tu
 
Kama wanalipa kodi, na wanatengeneza ajira kwa wabongo, sioni tatizo kwao
 
Wakuu,

Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.

Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.

Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.

Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao

Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu

Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.

Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Hawa wanawezeshwa na serikali yao, siyo bure.
Wana mission yao itakuwa.
 
Umenga'ng'ania wachuuzi wakati kuna wachangiaji wengi huko juu wamesema hao wachina wako kwenye real estate,
Nimengagania wachuuzi sababu mbili (moja kuanzia serikali kuu hadi mtembeza soksi wote ni wachuuzi na madalali in one way or another (na hizo bidhaa kama ni bidhaa ni tofauti tu either zinatoka Guangzhou au Kariakoo kwenye Ghala la mdau) Nimengagania wachuuzi sababu Samia alisema hawa wanaotembeza soksi wachunguzwe wakati hata kuna wale ambao tumewaachia creme de la creme (Commanding heights leo, bila kuwapa upenyo watu wetu wafanye hizo kazi hence kesho na keshokutwa) vizazi vijavyo kuwa vijakazi...

Nimengagania wachuuzi sababu mwisho wa siku value wanayoongeza ni kwa demerits ya mtuamiaji (sababu wanachukua na kuongeza cha juu) hivyo mwisho wa siku gharama kupanda; kwahio kama mtu anaweza kupata from the source (be it Alibaba, Aliexpress au Amazon) na ndio huko tunapoelekea well and good (kwahio cha maana sio kujaribu kuzuia waves bali learning how to surf)
uchimbaji mdogomdogo wa madini,
Sasa hapa ni kwamba Sekta husika ndio zipitie Sera zao..., na je uchimbaji mdogomdogo kwanza una athari kiasi gani kwa afya ya mchimbaji na mazingira ? Kwanini hawa wasiwezeshwe au kwa maeneo yao uchimbaji huo waunganishwe as cooperatives ili kuweza kuongeza value na kipato chao; All in all achana na uchimbaji mdogo uchimbaji wote nchini na mikataba yote tunapigwa; kama taifa hakuna value for money, sababu hata hao wadogo wanaochimba mwisho wa siku wanaingia kwenye chain ya hizo corporates and since hawana buying power ni mwendo wa kupigwa (Thus hata kwa hili ni yaleyale unaangalia vitu so myopically na as a subset na sio whole equation)
wanamiliki malls na maduka kibao pamoja na sekta nyingine nyingi.
Malls zina faida au hasara, maduka hayo yana hasara gani (utasema yule muuza duka au wauza duka wa mwaka jana wanashindwa kuuza sababu ya ushindani) sasa umeangalia mlaji wa mwisho ambaye anaweza kupata bidhaa hizo hizo cheaper hence kubaki na pesa ya kufanya mengine ? Kwahio if they can bring a better service and cheaper and instill competition for the better ya mtumiaji unaona hapo kuna tatizo na isiwe hivyo ili mtumiaji wa mwisho alipie bidhaa au service premium ? Ungesema kuna kazi ambazo wanakuja kufanya za mlipa kodi, hivyo mlipa kodi huyu anakosa kufanya kazi ile hivyo kukosa ujira ningekuelewa zaidi ila sio kwamba wanatoa service at a cheaper rate, kwahio unataka hawa wengine watoe at a higher rate ili baadhi wapate faida...; Kwahio Malls, Maduka ni for the betterment ya Mwananchi na kama wapo kwenye real estate ambayo they provide cheaper alternative well and good (tulalamikie kina NHC ambao mali zake zimetokana na kodi zetu) tena kumbuka hawa kama wawekezaji wa mali hizo lazima wameingia partnership na mzawa sababu kuna sheria zinazolinda wazawa kwenye investments kama hizi..

And they say it's the White Man I should Fear..., but its my Own Kind doing all the Killing here...
Ushasema wewe ni so called "globalist" so usha-pick side.

Tulia, usisumbue watu
It's not about picking sides and its never black or white, real life has a lot of grey areas na kila kitu kina pro and cons..., kwahio tulaumu kwa ubaguzi wao, tuwalaumu kwa kutokufuata sheria au tulaumu nchi yetu kutokuwa na sera za watu (wazawa) kukosa ujira wakati ina resources za kila aina..., ila sio tulaumu watu fulani wamejaa sehemu fulani na wanamiliki vitu fulani wakati wateja wa hivyo vitu na services ni mpaka wewe na huenda they are doing a better job at any given time kuliko otherwise (take anything from them they are hard working na wanajinyima balaa) Na hata kama kwao ni wabaguzi ndio maana mimi sikai kwao nakaa huku kwetu ambapo hakuna Ubaguzi (kutokuwa kwetu wabaguzi makes us a better country)
 
Umesema kweli kabisa! Hata vibao barabarani vya kuelekeza hizo hoteli na hospitali zao vimeandikwa kwa Kichina. Bora wangekuwa wanaweka na maandishi ya Kiswahili pia katika vibao hivyo.
Huko kwenye maeneo yenye madini nako wamekuwa wengi wakiwa kama wachimbaji wadogo. Binafsi naona kama kuna hatari huko mbele, labda ni hisia tu....
Mkuu huko hotelini waachie wenyewe, kuna supu za chura, mbwa, konokono, nge na mende wale walionona.
 
Back
Top Bottom