Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

Mkuu

Kwa maoni yako, unadhani ina afya for these people kukaa kwenye suxh prime areas?
Wewe una depression kwasababu ya umaskini wako najua unaumia kuona mchina anakaa prime areas, kesho utasema wanyakyusa wamejaa kule keko ni threat kwa wa wazawa wa dar, wiki ijayo utasema wakurya wamekuwa wengi

Acha roho ya ubinafsi, tulio wengi wageni ndiyo wametutoa nimejenga nyumba simply kwasababu Barrick ambaye ni m canada anachimba dhahabu

Toka nje ya box utaku mchawi soon 😏😎🤜🤛
 
Sawa sawa. Nakuunga mkono.

Na ile tume ambayo aliunda Rais kwa ajili ya kudhibiti "wageni" Kariakoo pia nadhani aivunje haina umuhimu.

Kwa kuwa wachina ni rafiki zetu na wana hela, hata huko Kariakoo wenyewe ndo wapewe kipaumbele maana zita-"trikle down on the economy"

Kikubwa pesa mkuu. Maana si umeona hata kule Guangzhou Watanzania wanapewa kipaumbele kuliko Wachina.

Kikubwa ni pesa.

Nimesisitiza mara kadhaa sheria na taratibu zifuatwe. Kama hamtaki wawe wachuuzi kama Rais alivyosema wekeni wazi. Kama hamtaki wakae Mikocheni wekeni wazi. Semeni wanaruhusiwa kuwekeza wapi na wapi. Hiyo Mikocheni na Masaki ilianza kuwa magofu tu wamatumbi walishindwa kulipa rent, mnataka akina nani wapange au kumiliki?

Huko China wabongo na waafrica wengi tu wapo wanamiliki biashara zao. Tatizo kubwa la wabongo ni ushamba nothing else. Mnaona kila muwekezaji ni mwizi na bepari nyie mnaamini mpo kisiwani kila kitu ni nyie tu.

Makampuni yote makubwa yanaenda Kenya hadi Nala ya mbongo mwenzenu imeenda Kenya sababu ya ushamba na ujinga endelevu wa wabongo wa kuaamini kila mgeni anawanyonya. Balozi za nchi nazo zinahamia Kenya.

Hapa tatizo sio wachina bali wageni wote sababu ya ujinga endelevu wa wabongo.
 
Sijui lakini hamna kitu kinaniuma kama kuanza kuwarekodi wachina na kusema wamevamia daaah. Hawa wamekuja na passport zao. Hawajazamia, na wote wanashughuli za kulipa kodi, hata sisi tukienda makwao, tunakua na eneo ambalo wengi wetu tunafikia. Why wao watengane. Roho imeniuma sana daaah.
kuna miji kama doha, Qatar, London-Uk, Minneapolis- marekani, kampala nairobi na mombasa, kitwe-zambia. Kuna watanzania wengi unaweza sema kkoo au pale nyegezi mwanza.
What the fck this is trending today.
Hawa wanakaa kwenye appartment uwezo wakununua hizo nyumba hawana.
Mnajua kuna wachina wangapi kiwanda cha dar ceramics, kepa ceramics mkuranga?
Ujinga huu wazee. Kausheni.
Mindyou Pitia hapa upunguze ujinga
 
Sisi tunapoenda makwao tunaruhusiwa kuanzisha supermarkets na car wash na kuanzisha "Swahili Towns?"
Hata mkipewa fursa ya kuanzisha hizo town mta meet requirements..? Leo hii ukiambiwa (mfano: eneo alililokua analitumia Mcdonald pale shanghai lipo vacant utaweza kwenda ku rent au kulinunua..? Kwanini basi Miji yao ina thamani.

Badala ya kuanza kubweka humu nenda kwenu huko mwamashimba kaongeze thamani ya ardhi yako atakuja m Vietnam atataka kupanunua au kukodisha kwa Thousands of dollars utakataa na kuna faida unapata..?
 
Wakuu,

Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.

Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.

Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.

Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao


Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu

Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.

Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Halafu Songea kuna mchina anaitwa Mapunda....tulikunywa nae ulanzi ana watoto watatu lakini shughuli zake ni Dar....pale Songea kaamua pawe nyumbani.
 
Sasa si ungeanzisha uzi wako wa rasilimali na bandari
Naanza kupata mashaka na uelewa wako; nimekwambia kwa nchi yenye rasilimali kama hii kuanza kuhangaika na kulalamika kwamba kazi zenu uchuuzi zinachukuliwa ni uzezeta...; nikasema badala ya kuhangaika na uchuuzi tungehakikisha watu wetu wanakuwa kwenye administration huko bandarini na sio kuwapa watu ili nyie mkagombanie kuwa mawinga; by the unajua hata watu pia ni rasilimali ?
Unahangaika na uzi wangu wa uchuuzi na mediocrity wa nini?
Hapa najipu hoja in hand and calling a spade a spade.., sasa kama wewe unaona the ultimatum ni kuchuuza hizo bidhaa za wachina huku na kulalamika kwamba wanachukua kazi zako huku za kuchuuza badala ya kulalamika kwanini hakuna sera za kupata ujira kwa kufanya kazi creme de la creme zilizopo nchini hio ndio definition ya mediocrity
Sehemu gani nimeandika mambo ya rasilimali kwenye uzi wangu?
Watu ni rasilimali na mimi ndio nimekwambia umeongelea Kariakoo na wachina mawinga.., sasa nikakujibu hizo kazi za kubangaiza ndio unazolalamikia wakati kuna kazi creme de la creme badala ya kushangaa nchi yenye rasilimali lukuki tunalalamika kwamba hizo ndio kazi zetu badala ya kutunga sera na kupata kazi za kuwapatia watu ujira na sio kuendeleza kuchuuza bidhaa hizo hizo za kutokea China
Nimechoka ulipo sema mwanzoni kuwa Wachina wapewa kuwa Adminiatrators wa bandari.
Mkuu hata kusoma hujui nimekwambia badala ya kulalamikia uwinga Kariakoo tungelalamika kwanini watu wote hawana kazi za administration kule bandarini ni kwamba kazi za huko hatuwezi tufanyiwe na hizi za uchuuzi ndio zetu (mentality deformity)
Sina neno kubwa zaidi ya kukwambia hujui unachokitetea.
Natetea the whole notion ya kuwa homophobic.., ila ukileta hoja za kubaguana au kunyanyaswa au kutokuwa na fair game takujibu au taongelea merits na demerits zake au laumu watu kama wamejenga au kuchukua eneo kwa njia haramu na sio vinginevyo sababu ya rangi yao...
Una absttact ideas nyingi sana. Wewe ni idealist.
I take it as a compliment...,just aiming for the moon and when I miss it atleast I will fall in pragmatism..., until then I will continue to test the realms of possibilities and what ifs....
 
Mkuu

Kwa maoni yako, unadhani ina afya for these people kukaa kwenye suxh prime areas?
Kwa namna utawala wa sheria ulivyo weak hapa kwetu kuna kipindi kitafika hawa jamaa watakuwa ni untouchables. Mzawa utafanywa chochote in expense ya fedha zao.
 
Sawa sasa

Nitajie ni sehemu gani unayoijua wewe hapa Bongo ambayo kuna Warusi tu, then hao Warusi wana hospitali yao, wameanzisha supermarket ya Kirusi, Car Wash na vitega uchumi vingine ikiwemo hospitali?

And why is it okay for Chinese nationals kukaa na ku-own hotels na kukodisha apartments hapa Tanzania while kwao it's illegal kwa Mtanzania kufanya hivyo.
Kwangu mi naona ni kama kuanzisha nchi ndani ya nchi
 
Sijui lakini hamna kitu kinaniuma kama kuanza kuwarekodi wachina na kusema wamevamia daaah. Hawa wamekuja na passport zao. Hawajazamia, na wote wanashughuli za kulipa kodi, hata sisi tukienda makwao, tunakua na eneo ambalo wengi wetu tunafikia. Why wao watengane. Roho imeniuma sana daaah.
kuna miji kama doha, Qatar, London-Uk, Minneapolis- marekani, kampala nairobi na mombasa, kitwe-zambia. Kuna watanzania wengi unaweza sema kkoo au pale nyegezi mwanza.
What the fck this is trending today.
Hawa wanakaa kwenye appartment uwezo wakununua hizo nyumba hawana.
Mnajua kuna wachina wangapi kiwanda cha dar ceramics, kepa ceramics mkuranga?
Ujinga huu wazee. Kausheni.

Word. Tatizo wabongo wengi washamba hawana exposure wamejazwa upumbavu endelevu kwamba kila mgeni ni mwizi, mbaya, hafai. Mgeni akifuata taratibu ana haki zote so long as havunji sheria. Wabongo Sababu wao hawataki kutoka kwenye nchi yao wanadhani dunia nzima watu wamejifungia kama wao.
 
Back
Top Bottom