Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Tena mimi ingewezekana ningesema tuwaachie hizo kazi za machinga na mawinga na za vibarua sisi tuhakikishe watu wetu tunawapa kazi za kwenda kusimamia huko Migodini, kwenye mbuga za wanyama kuwa ma administrator kwenye bandari zetu, investors wa mali zetu n.k.Kwakweli labda it's a globalist in you mkuu.
But in real sense. Wachina ni an existential threat.
Huko Kariakoo wamekuwa Mawinga wanauza hadi soksi na ndo maana hata Rais Samia alimuagiza Jafo aunde tume ya "kuchunguza" influx ya hao wachina pale Kariakoo.
Wachina wangebaki kuwa investors hamna mtu angesumbuana nao. Boomplay, Tekno, Itel, Startiimes zote zao hamna mtu analalamika.
Lakini hao jamaa wako wengi sana na ukiongea na wafanyabiashara watakwambia wanavyo-operate kihuni
Na sio kulalamika eti wanatunyanganya kazi zetu ukiuliza nini (unaambiwa kutembeza mitumba na kuwa chinga ) as if uchinga ndio kazi pekee tunayoweza; hatulalamiki creme de la creme zinafanywa na wengine