Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
- Thread starter
- #201
Tafuta hela wewe na kama inakuuma kuoana wananunua maghorofa nenda ukayanunue wewe! Usikute hapo umekula zako kiporo cha makande ukajilaza kwenye kigodoro getoni
Sijui jinsia yako lakini hii mambo ya "tafuta hela" ni talking points za watoto wa kike.
Ume-dislike weee umechoka nikadhani utakuja na points zito ila umeandika kama unaumwa verbal diarrhea.
Avatar yenyewe ya tumbili. Jinga kabisa!