Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Chuki za kijinga punguza wachina hawaji kuongeza umasikini wenuSawa Blac Chyna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki za kijinga punguza wachina hawaji kuongeza umasikini wenuSawa Blac Chyna.
Kwa mujibu wa sheria yetu ya mwaka 1997 juu ya suala la kuuza eneo/ardhi hairuhusu kumuuzia mgeni ardhi bali inaruhusu kuwapa eneo kwaajili ya uwekezaji…
Ikiwa wanaingiza mapato kwa taifa sio mbaya ila ni mbaya kama hawatunafaishi.
Kama raia tunapaswa kubana uongozi kwa kujua mapato na matumizi kama yanaenda inavyopaswa ndo maana tunapaswa kuwa na viongozi wenye weledi na wazalendo.
Mgeni anakaribishwa lakini anapaswa kupukuchuliwa vilivyo ili achague kama anakaa au anabaki na si kumfukuza kwa kuwa wapo wengi.
Issue ni kwamba nchi yetu ina makandokando mengi sana ndo sababu hata ongezeko lao linatia wasiwasi ni kama kuna sehemu kuna pengo linalofanya pawe kama shamba la bibi ambapo shida hapo sio wao maana wao wanaangali palipo na fursa mkiwapa mwanya hawauchezei.
Wanakua kama wahabeshi wenye nywele zilizochachamaa...Kuna machotara wa kichina?
Chuki za kijinga punguza wachina hawaji kuongeza umasikini wenu
Mkuu unasema CHADEMA tutaenda kuwafukuza wachina kama sera yetu.Umejibu kama kijana wa UVCCM.
Ni watanzania wangapi wanamiliki supermarket, hoteli, na restaurants huko Guangzhou?
Una akili timamu?
Wataje hao watu 200 uone ulivyo mjinga mwenye confidence ?Mimi niwachukie watu ambao wako Bilioni 1 lakini wanatawaliwa na watu 200 tu?
Nachukiaje magoigoi ambao hawatulii kwenye nchi zao wanaenda kuanzisha vijiwe kwenye nchi nyingine in the name of "Chinatowns" na wewe ulivyozoba unawatetea.
Wachina sio watu wa kuwachukia ni watu wa kuwaogopa.
As i said kuliko kujaza uzi matusi baada ya kuishiwa argument ni bora uende kupumzika
Wapi umetukanwa acha kuplay victim kwa ujinga wako.Mimi niwachukie watu ambao wako Bilioni 1 lakini wanatawaliwa na watu 200 tu?
Nachukiaje magoigoi ambao hawatulii kwenye nchi zao wanaenda kuanzisha vijiwe kwenye nchi nyingine in the name of "Chinatowns" na wewe ulivyozoba unawatetea.
Wachina sio watu wa kuwachukia ni watu wa kuwaogopa.
As i said kuliko kujaza uzi matusi baada ya kuishiwa argument ni bora uende kupumzika
Tafuta hela wewe na kama inakuuma kuoana wananunua maghorofa nenda ukayanunue wewe! Usikute hapo umekula zako kiporo cha makande ukajilaza kwenye kigodoro getoniWakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.
Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao
Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu
Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.
Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Nafanya kazi na wachina we mostly go to those places na kuna suprises nyingi nimepata huko Masaki. Wachina wamejiweka kwenye prime areas nyingi almost whole block kuanzia Morroco Square kuja mpaka Kairuki imetawaliwa na wachina.Wako wengi sana huko na it raises a lot of questions.
Wale jamaa soon tutaanza kuwaona wanagombea udiwani na Uenyekiti wa vitongoji
Sidhani kama wapo.Ni watanzania wangapi wanamiliki supermarket, hoteli, na restaurants huko Guangzhou?
Mapenzi hayarazimishwi.Inapaswa kuchanganya damu sasa, wasijitenge.
Wewe si ndie unajua watu Bilion 1.4 wanatawaliwa vipi, sasa taja hao watu 200 wanaowatawalaDo your homework usinichoshe
Uhatari wao ni upi ?Wachina watu hatari sana kuwaachia kuingia na kuishi nchi yoyote ile
Exposure ni mhimu sana. Unfortunately WaTanzania wengi tumekosa hiyo kitu. Binafsi Mimi sioni maajabu wachina kuwepo hapo. Ukienda Canada Kuna mitaa ya wahindi Waingereza nk. Ukienda USA Kuna mitaa ya wachina ya wahindi nk.Haya mambo unayakuta Tanzania