Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo na wewe sako kwa bako mpaka ujinga ukutoke leoNi sawa tu kama hunielewi mkuu.
Pengine uzi huu ni mkubwa sana kuliko upeo wako. It's okay.
Majukwaa yako mengi humu. Tafuta nyuzi zinazoendana na your brain capacity.
Walikuwepo ila wameenda wapi sasa? Nini sababu?Kwani kabla ya kuja hao Wachina kulikuwa hamna wabongo wanaoishi huko Mikocheni na Masaki?
Umekuja mjini lini?
Mwaka 1800s China Town ya kwanza ilisimikwa U.S.A mpaka sasa ni miaka mingapi imepita ?
Hoja gani unayotaka wakati umekwisha onesha ujinga wako kuhusu dhana nzima ya China townMkuu jenga hoja. Ndo maana huko juu nikakwambia you're trying to play smart.
Mimi nimekuwa very direct kwenye hoja zangu. I'm not trying to set traps kwa kuuliza maswali ambayo unaweza kupata majibu kwa a simple google search.
Jenga hoja kwa kuzungumzia unayoyajua.
I'm not your student wala siko hapa kujibu maswali. Utafanya thread iwe ndefu bila sababu za msingi.
What are you trying to communicate?
Walikuwepo ila wameenda wapi sasa? Nini sababu?
Hili kwa kweli hata mimi sijaelewa! Inakuwaje bango linawekwa kicking, je mamlaka za serikali zinaelewa hizo lugha, tukisema haiwahusu watz kwa kuwa walengwa ni wao tu?🙄Hata vibao barabarani vya kuelekeza hizo hoteli na hospitali zao vimeandikwa kwa Kichina. Bora wangekuwa wanaweka na maandishi ya Kiswahili pia katika vibao hivyo.
Hoja gani unayotaka wakati umekwisha onesha ujinga wako kuhusu dhana nzima ya China town
kwa sasa tutaona ni jambo la kawaida ila 2030 ndo tutaelewa, tukishtuka tushachelewa na kuwatoa hatuwezi inabidi tuishi nao.
Msiwe na akili za ubaguzi au husda
Hapo inatakiwa ujiongeze na kufungua duka la vyakula vya kichina
Nakupa hii akili kwa kuwa sipo huko, ila ningekuwepo ningefungua Duka lao na ningeuza mpaka vyura, na nyoka kwa vibali
Wanapenda Popo pia
Vyakula vyao ukitaka kujua utapata wapi usisite kuuliza
Waswahili tatizo huwa hamuoni fursa
Sikiliza mzee, We masaki unajua worth yake kwa nyumba ya kuishi mkuu? Sikatai wapo wabongo wanaoweza kuishi ila pia sio wengi lakini tukiacha hilo thamani ya pesa yetu ipo chini sana kiasi mtu unaweza ukaweza kulipia rent hiyo 2000$ per month ila ukaona kama unatumia hela yako vibaya kwa kuwa tunajijua hali zetu.So you want me to start thinking for people ambao for their private reasons wameamua kutokuwepo masaki?
Seriously mkuu?
Em some nilichokiandika kwenye post ya kwanza unachojaribu kuuliza
Kwani huku sheria inasemaje kuhusu ardhi na mgeni ? Unaweza ukawa mwekezaji partnership na raia after all hata raia ardhi sio mali yako unapewa lease
Na unadhani hio ni for the merit ? Kwahio sababu wao wanatabia za hivyo huenda kutokana na kwamba nchi yao imejaa na sisi tufanye hivyo ? Mimi nikiwa nina apartments zangu akaja mchina mwenye residence permit nikimpangisha who cares au ni kwamba siku akiondoka ataondoka nayo kwenye begi lake ?
Kwahio na hao hata kama wanafanya ujenzi hio ardhi sio yao, Tanzania hakuna anayemiliki ardhi unapewa lease..
Kwamba mchina car wash yake haitakatishi ? na kama yake ni bora kuliko ya Mmakonde kwahio niende kwa Mmakonde au nitembelee na gari chafu wakati carwash ya mchina ipo ?
Kuna machotara wa kichina?Dunia ni kijiji wacha watoto wa afu mbili wachanganye damu