Sasa why should i care about other countries? Mimi niliongelea Bongo au kwenye main body niiligusia nchi nyingine?
Plus hata kama kwenye nchi nyingine zipo bado hizo China towns za huko zinaripotiwa kuwa na matatizo makubwa.
London kwa mfano ilifikia hatua hadi mapolisi wakaanza kutuma "mashushu" ili kupata taarifa ya kinachoendelea huko maana uhalifu ulikuwa ni mkubwa.
Los Angeles walitunga sheria kqbisa ya kucontrol hayo mnayaita Machinatown, uhalifu ulikuwa uncontrollable.
Yaani kwa speed wanauoenda nayo Wachina, in 5 - 10 years huko Masaki na Mikocheni kote kutakuwa na bendera za Kichina, kama huoni hilo ni tatizo that's your own damn problem