Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi Corazon Mi miMi naona sawa...tena tufanye kuzaa nao kupata kizazi kipya..hiki kilichopo kina uoga mnoo...
2.ni fursa kwenu majirani mjifunze kichina
Acha wachina wachangamkie fursa nje ya mipaka yao, unacholalamikia nini? Wabongo si mna simba na yanga na goli la mama, nini mnakijua nje ya hayo?
Hawa wachina wanatuharibia nchiWakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.
Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao
Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu
Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.
Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Soma thread vizuriHasa mikocheni hali ni mbaya
Ngoja nkajaribu zali nisafishe nyota.Nenda palm village na dolla 100-200 utapata hiyo huduma.
Ila sina hakika kama wanauzia wamatumbi, ila mbele ya pesa… Unajua pesa haiongopi.
Sio kweli, Tembea duniani huko uone, karibia miji mikubwa yote duniani kuna "china towns", sio jambo jipya.Haya mambo unayakuta Tanzania
Sio mbaya kukiwa na China TownWakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.
Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao
Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu
Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.
Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Sio mbaya so long as hatuwaachii commanding heights za economy na sisi kuwa vijakazi; sehemu nyingi kuna sehemu za wachina (their culture) since they have rich culture..., Huko USA kuna China Town nyingi tu, pale uk Birmingham kuna Chiniese Quarter...
Mimi mdau wa dunia napenda sana hii nikifeel like having a change of scenery naweza kwenda Dar hapo nakujichanganya na kujiona kama nipo Beijing; so long as sibaguliwi na ninapewa services kama mdau yoyote....
Badala ya kuogopa hao wachina naweza kukuogopa wewe au watu kama wewe ambao ni xenophobic...
Sio kweli, Tembea duniani huko uone, karibia miji mikubwa yote duniani kuna "china towns", sio jambo jipya.
Unaweza pita hapa ukajionea.
👇🏽
Chinatowns of the world
www.chinatownology.com
Nakubaliana naye tunahitaji kizazi kipya akili mpya
Nimekupinga ulivyosema kuwa mambo haya yapo TZ tu, usipotoshe watu.China towns ni chanzo cha matatizo makubwa sana na ndio maana ziko discouraged siku za hivi karibuni.
Ukifuatilia huko ndani ya China Towns kuna illegal businesses nyingi, kuna gangs na kuna biashara nyingi za kikahaba zinaendelea huko. Fanya a simple google seaech utagundua.
Marekani walitengenezaga kabisa sheria ili kuweza kuzi-control hizo China towns huko Los Angeles. Sijui iliishia wapi
Msipende kushabiki vitu msivyovijua
Unaifahamu sheria ya ardhi kwa wachina wote ?China mtu ukiwa ni mgeni yani sio mchina huruhusiwi kumiliki ardhi. Wana sheria hiyo na iko kwenye Katiba yao.
Hata kumiliki apartment mpaka kupata hicho kibali ni shida sana na hata ukikipata inatakiwa iwe ni kwa ajili ya kuishi wewe tu.
Sasa kama that is the case kwanini wachina wanakuja Tanzania na serikalo yenu inawaacha wanaanzisha hadi car wash?
Nyie mbona mmeshindwa kuiendeleza obay ,masaki mikocheni
Nyumba obay watu wanaishi wanafuga ngombe 😄
Wapisheni wenye kisu hizo potential area
Ova
You are kidding right?Msipende kushabiki vitu msivyovijua
Hapana hilo sio tatizo, je unaogopa kuwa siku zijazo tutatawaliwa..? Hapana tufanye kazi kwa bidii mkuu wachina wana mitaa yao huko state tangu 60s usiwaogope pambana naoAnd this to me sounds like a very big problem
Tanzania haina wachina wengi kushinda Singapore, nchi za Asia hata baadhi mataifa ya ulaya na marekaniChina towns ni chanzo cha matatizo makubwa sana na ndio maana ziko discouraged siku za hivi karibuni.
Ukifuatilia huko ndani ya China Towns kuna illegal businesses nyingi, kuna gangs na kuna biashara nyingi za kikahaba zinaendelea huko. Fanya a simple google seaech utagundua.
Marekani walitengenezaga kabisa sheria ili kuweza kuzi-control hizo China towns huko Los Angeles. Sijui iliishia wapi
Msipende kushabiki vitu msivyovijua
The people's countryThis is hilarious Tanzania.