much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Hata wenyewe ni waoga ndo maana CCP imewatawala kimabavuMi naona sawa...tena tufanye kuzaa nao kupata kizazi kipya..hiki kilichopo kina uoga mnoo...
2.ni fursa kwenu majirani mjifunze kichina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wenyewe ni waoga ndo maana CCP imewatawala kimabavuMi naona sawa...tena tufanye kuzaa nao kupata kizazi kipya..hiki kilichopo kina uoga mnoo...
2.ni fursa kwenu majirani mjifunze kichina
Ww umejuaje je kama ni raia wa Tz kama ww? Wasipewe haki yao kwa sababu ya asili yao?We dont need foreign investors wanao-invest kwenye CAR WASH, MIGAHAWA na ZAHANATI au investors wanaonunua nyumba na kuanza kupangisha.
Investor anatakiwa kuinvest kwenye maproject makubwa.
Wachina hao hao ndo wanamiliki Boomplay, Startimes na Tekno, lini umeona wabongo wanalalamika.
Unapata wapi nguvu ya kumuita mtu anayewekeza kwenye CAR WASH na mgahawa kuwa INVESTOR?
Mkuu kwani kuna tatizo gani iwapo watakuwa hapa nchini kwa mujibu wa sheria?Comment za watu kama ww, ndio zinafanya hii nchi ionekane haina maono, vijana wa hovyo, kumbe ni vijana wachache sana
Shida iko wapi kama wapo kihalali na wanazingatia sheria za nchi!? Punguza chuki na upambanie maisha yako.Wakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.
Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao
Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu
Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.
Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Hahahaha,ni mwendo wa kuhamishana tuSerikali yao inawa boost sana
Ila mimi naona sawa kabisa
Unajuwa kila mtu na mnyonge wake...kama sahv kinondoni inavyoshambuliwa na watu kwa kuwahamisha wao nao wawatafute wanyonge wao huko mbande,mbagala chamazi 😄
Ova
Wachina wanataka/ wameisha kodi mashamba mengi katika baadhi ya nchi ili kulisha watu wao ChinaWachina Wana plan ya mbali sana. Wachache sana watakuelewa. By the time USA wamekuja kugundua it was already too late.
Wachina Wana plan ya mbali sana. Wachache sana watakuelewa. By the time USA wamekuja kugundua it was already too late.
Sio tatizo kama watakubali kuwa Watanzania ni jambo zuri sanaWako wengi sana huko na it raises a lot of questions.
Wale jamaa soon tutaanza kuwaona wanagombea udiwani na Uenyekiti wa vitongoji
Kwa nini ?Wawe wawekezaji.
Masuala ya kuanzisha Car Wash na Supermarkets wawaachie wazawa
Labda hafahamu huyu hili kuhusu wachina.Popoete wanapoishiw achina huw awanatengeneza china town yao.
Nyinyi mmeshindwa
Ingekuwa imetawala kimabavu muda tu wangekuwa wameiondosha na wala isingekuwa na miaka zaidi ya 100 itakakuwa huwafahamu wachina na historia yao.Hata wenyewe ni waoga ndo maana CCP imewatawala kimabavu
Haya ndiyo maendeleo sasa. Hizo ndyo high class settlement zinazoendana na nchi ambayo imekua kiuchumi.Wakuu,