Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

Wewe ni mbaguzi nyinyi ndio wale hata huko vijijini kwenu mgeni akiamia mnaanza kumjadili.

Kama mgeni akija kijijini kwetu akaanza kununua mashamba, maduka yote ya kijiji akaanza kuyamiliki, akaanzisha car wash na hospitali Yes nitaanza KUMJADILI na kama huo kwako ni ubaguzi basi utakuwa una matatizo ya akili.

Yaani hujui how ambitious the Chinese governemnt is ndo maana unaandika unachokiandika
 
Toka bwana, mi ndo nimekuomba statistics unaanza kubadilisha kibao kuwa mimi ndo nikupe statistics.

Kama wewe hata hizo statistics huna ulikuwa unabisha nini?
we ni kama kenge

unaandika kwa uchungu ukionesha ni namna gani unaroho chafu
 
Wakuu,

Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.

Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.

Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.

Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao

Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu

Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.

Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Too bad watz wako busy , wakuwa distracted na umbea, udaku ,siasa na simba na yanga. Na hivi vitu vinatumika kuwapumbaza wakati kuna mambo serious yanaendelea kama haya
 
Mi naona sawa...tena tufanye kuzaa nao kupata kizazi kipya..hiki kilichopo kina uoga mnoo...
2.ni fursa kwenu majirani mjifunze kichina
Tena inatakiwa wavurumishe ngozi nyeusi yote kutoka sehemu zote nzuri za jiji, wawahamishie pembezoni huko kama Gezaulole kama wazaramo walivyovurumishwa. Hatuna maana sisi, tumebaki kushangilia Simba na Yanga tu.
 
Wakuu,

Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.

Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.

Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.

Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao

Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu

Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.

Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Popoete wanapoishiw achina huw awanatengeneza china town yao.
Nyinyi mmeshindwa
 
Hao wachina wameona fursa na wanafata taratibu zote ambazo zipo kisheria .

Ni vizuri na sisi black utakaziamsha Bongo zetu ili tukae katika competition mode and not hate .

Maana riziki ni Kama Nyama ya tembo hauwezi kuila peke yako ukaimaliza we need more investors

We dont need foreign investors wanao-invest kwenye CAR WASH, MIGAHAWA na ZAHANATI au investors wanaonunua nyumba na kuanza kupangisha.

Investor anatakiwa kuinvest kwenye maproject makubwa.

Wachina hao hao ndo wanamiliki Boomplay, Startimes na Tekno, lini umeona wabongo wanalalamika.

Unapata wapi nguvu ya kumuita mtu anayewekeza kwenye CAR WASH na mgahawa kuwa INVESTOR?
 
Maeneo hayo Mchicha anakuvua tu km unataka kumpa, pale Palm village wamejaa
Serikali yao inawa boost sana
Ila mimi naona sawa kabisa
Unajuwa kila mtu na mnyonge wake...kama sahv kinondoni inavyoshambuliwa na watu kwa kuwahamisha wao nao wawatafute wanyonge wao huko mbande,mbagala chamazi 😄

Ova
 
We dont need foreign investors wanao-invest kwenye CAR WASH, MIGAHAWA na ZAHANATI au investors wanaonunua nyumba na kuanza kupangisha.

Investor anatakiwa kuinvest kwenye maproject makubwa.

Wachina hao hao ndo wanamiliki Boomplay, Startimes na Tekno, lini umeona wabongo wanalalamika.

Unapata wapi nguvu ya kumuita mtu anayewekeza kwenye CAR WASH na mgahawa kuwa INVESTOR?
Mchina sahv ameingia kwa kasi kwenye real estate na eneo likiwa potential hauliIzi ana maliza

Ova
 
Back
Top Bottom