Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
- Thread starter
- #161
Sikiliza mzee, We masaki unajua worth yake kwa nyumba ya kuishi mkuu? Sikatai wapo wabongo wanaoweza kuishi ila pia sio wengi lakini tukiacha hilo thamani ya pesa yetu ipo chini sana kiasi mtu unaweza ukaweza kulipia rent hiyo 2000$ per month ila ukaona kama unatumia hela yako vibaya kwa kuwa tunajijua hali zetu.
Wamiliki wa nyumba za kule hawakulambi miguu maana ni sehemu inayojiuza kwa thamani kubwa najua hata wewe ungekuwa mmiliki wa nyumba kule ingekuwia urahisi kuipangisha kwa gharama kubwa alafu wewe ukaishi sehemu nyingine.
Mkuu nimekuelewa.
So your point is kwamba kwa kuwa Wabongo hawana hela basi kwa kuwa Wachina wanazo wanaweza wakanunua Masaki, Mikocheni na Oysterbay yote, right?
Yaani maana yangu ni kwamba, kama CCP leo wakiamua kuweka USD 10 Billion, wabongo wote waondoke wakae China tu (kwa sababu wachina can manage na wabongo can't manage) hiyo kwako ni sawa?
Sijajua kama umeelewa swali langu mkuu? Nimejaribu kui-apply your logic to its full extent.