Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongelea China huwezi kupewa Ardhi nimekuuliza hata huku ardhi ni mali ya mtu au unapewa lease
Kwamba ukienda kuosha gari lako wanaangalia ngozi yako ? Kama ndio basi hawafai hii nchi imejengwa kwa assimilation na hatu entertain ubaguzi..., na kama ndivyo usingesema wachina wamezidi bali ungesema wachina wanabagua waswahili na kuleta apartheid na kwa hilo ningeshirikiana nawe kuwakemea
Acheni uwogaTanganyika inateseka sanaaaa huku wachina kule wazenji yani tabu tupu
Watakua wapo wachache sana ndani ya nchi hiiWanakua kama wahabeshi wenye nywele zilizochachamaa...
Only in Tanzania wageni wanatoboa na limekuwa shamba la bibi,wanatuona mabwege kweli kweli.Sasa wewe inakuuma nini? kama vp na wewe nenda china ukatawale mitaa ya Guangzhou. Huu ndio kiashiria cha ubaguzi wenyewe sasa.
Mkuu hapo wapo kwenu na umeshika mpini.Hakuna mtu mwenye husuda kwa nchi ambayo kuna watu Bilioni 1 lakini wanatawaliwa kimabavu na a very small group of people known as CPP.
Kama ni ubaguzi hakuna watu ni wabaguzi kama Wachina ambao mgeni HUWEZI kumiliki ardhi kwenye nchi yao.
Na hata ukinunua apartment utapangiwa matumizi. Kuna sheria kandamizi sana kwenye nchi yao.
Ukitaka tuongelee ubaguzi itabidi uanze kuzungumzia ubaguzi wa hao wachina kwanza
Hilo halikwepeki kwa dunia ya sasa unachotakiwa na wewe upambane ukatumie fursa za kwao. Namshangaa mtoa mada sijui lengo lake ni nini wakati hao wameingia nchini kihalali, anatuletea mentalility za miaka 1960's kama alivyofanya Mugabe kuwafukuza wazungu zimbabwe.Only in Tanzania wageni wanatoboa na limekuwa shamba la bibi,wanatuona mabwege kweli kweli.
Ukija na uzi wa ubaguzi nitaupinga popote pale na wakati wowote ule sitajali kama ni mchina au ni mswahili mwenzangu hilo jambo sikubaliani nalo kabisa ila na mimi siwezi kubadilika kuwa mbaguzi sababu nipo na mbaguzi (binafsi mbaguzi namuona huruma sababu naona anaishi in the past)...Its a combination of both wako wengi and pia wana elements za u-apartheid but zimekuwa covered in the name of "kulinda utamaduni wao"
Unatetea Wachina kwa sababu huwajui tabia zao.
Sijui lakini hamna kitu kinaniuma kama kuanza kuwarekodi wachina na kusema wamevamia daaah. Hawa wamekuja na passport zao. Hawajazamia, na wote wanashughuli za kulipa kodi, hata sisi tukienda makwao, tunakua na eneo ambalo wengi wetu tunafikia. Why wao watengane. Roho imeniuma sana daaah.
kuna miji kama doha, Qatar, London-Uk, Minneapolis- marekani, kampala nairobi na mombasa, kitwe-zambia. Kuna watanzania wengi unaweza sema kkoo au pale nyegezi mwanza.
What the fck this is trending today.
Hawa wanakaa kwenye appartment uwezo wakununua hizo nyumba hawana.
Mnajua kuna wachina wangapi kiwanda cha dar ceramics, kepa ceramics mkuranga?
Ujinga huu wazee. Kausheni.
Linaweza kukwepeka kwa kiwango flani. Haiingii akili kuona wachina wanafanya biashara ndogo ndogo kama machinga huko Kariakoo. Je vigezo na mashartiHilo halikwepeki kwa dunia ya sasa unachotakiwa na wewe upambane ukatumie fursa za kwao. Namshangaa mtoa mada sijui lengo lake ni nini wakati hao wameingia nchini kihalali, anatuletea mentalility za miaka 1960's kama alivyofanya Mugabe kuwafukuza wazungu zimbabwe.
Hilo halikwepeki kwa dunia ya sasa unachotakiwa na wewe upambane ukatumie fursa za kwao. Namshangaa mtoa mada sijui lengo lake ni nini wakati hao wameingia nchini kihalali, anatuletea mentalility za miaka 1960's kama alivyofanya Mugabe kuwafukuza wazungu zimbabwe.
💩Acha mchangamshwe 😄
Ova
Ukija na uzi wa ubaguzi nitaupinga popote pale na wakati wowote ule sitajali kama ni mchina au ni mswahili mwenzangu hilo jambo sikubaliani nalo kabisa ila na mimi siwezi kubadilika kuwa mbaguzi sababu nipo na mbaguzi (binafsi mbaguzi namuona huruma sababu naona anaishi in the past)...
Nilikutana na waitaliano ni wabaguzi, wanadharau na matusi nje nje lakini hio haijanifanya niwachukie au niwabague bali ninawapokea kama wanavyokuja wakileta ubaguzi ninawadharau lakini hio hainifanyi kuacha kwenda kula spaghetti bolognese au lasagna..
Sijui labda its a globalist in me.., napenda zaidi varieties and different cultures kuliko kubweteka na same old same old...
Kwanini uanze na Warusi [TU] 🤔haijalishiSawa sasa
Nitajie ni sehemu gani unayoijua wewe hapa Bongo ambayo kuna Warusi tu, then hao Warusi wana hospitali yao, wameanzisha supermarket ya Kirusi, Car Wash na vitega uchumi vingine ikiwemo hospitali?
And why is it okay for Chinese nationals kukaa na ku-own hotels na kukodisha apartments hapa Tanzania while kwao it's illegal kwa Mtanzania kufanya hivyo.
Hata Stanley aliwalipa machifu kodi/hongo.Sijui lakini hamna kitu kinaniuma kama kuanza kuwarekodi wachina na kusema wamevamia daaah. Hawa wamekuja na passport zao. Hawajazamia, na wote wanashughuli za kulipa kodi, hata sisi tukienda makwao, tunakua na eneo ambalo wengi wetu tunafikia. Why wao watengane. Roho imeniuma sana daaah.
kuna miji kama doha, Qatar, London-Uk, Minneapolis- marekani, kampala nairobi na mombasa, kitwe-zambia. Kuna watanzania wengi unaweza sema kkoo au pale nyegezi mwanza.
What the fck this is trending today.
Hawa wanakaa kwenye appartment uwezo wakununua hizo nyumba hawana.
Mnajua kuna wachina wangapi kiwanda cha dar ceramics, kepa ceramics mkuranga?
Ujinga huu wazee. Kausheni.
Kwanini uanze na Warusi [TU] 🤔haijalishi
Hata hivyo unakubali itakuwa ni sera yetu CHADEMA kuwa ni illegal kwa mgeni yeyote yule kukaa na ku-own hoteli n.k hapa Tanzania kwa sababu kwao ni illegal kufanya hivyo.
Tatizo lipo wapi sasa, manake kama ninakuelewa vizuri, unataka kusema hili ni jambo la kisera na linaanguka kwa chama tawala CCM au nitakuwa nimekosea mkuu?
Yaani unasema kama nchi tuanze kutumia kama kioo, sera za Nchi za nje kama zetu??
Mfano rahisi ni kama vile(rationlisation) za Raisi Donald anavyosema, 'tumekuwa tukionewa sana na mataifa mengine', 'wao(nchi za nje) wamekuwa wakituwekea ushuru na vikwazo vingine na hivyo kutusababishia ukwasi katika maendeleo yetu nchini[marekani] -hivyo basi wakiweka ushuru na sie tutaweka n.k n.k
Kwamba ni sera za Democrats.
Awali ya yote, tufanye nini kama Nchi, kisera, kuondokana na kadhia hio? Manake ni dhahiri ni kadhia sasa.
Mtoa mada naona ni NGUMBARU mwenzetu. Amejaa chuki na ghilba dhidi ya WachinaWakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.
Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao
Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu
Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.
Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina
Inafikirisha sana😳Wakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa ajili yao.
Kuna hoteli moja pale Mikocheni ilikuwa inaitwa Regency Park wameichukua wameifanya kuwa ya kwao na pale makao makuu ya zamani ya Bolt there is a whole hotel ambayo bado haijaisha wameichukua. Hata pake Palm Village kuna a restaurant ya kichina.
Huko Masaki , mbele ya Warehouse kuelekea International School of Tanganyika kuna restaurants na sehemu kama 4 kwa ajili ya Wachina tu. Homecity 2 zote ya Mikocheni na Mlimani City ni za kwao
Yaani kuna mtaa wa pale juu karibu na Morocco Square kote kumejaa Wachina tu
Pale kwenye nyumba za TBS, wamechukua nyumba nyingi wameweka garage na indoor small industries.
Ndani ya miaka 5 Masaki na Mikocheni inaenda kuwa ni mji wa kichina. Hata wapiga kura wanaenda kuwa wachina