Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ile mbeya wale DANIDA walipokuwa wanafanya mradi ule jamaa walikuwa wanafanya kwa uweledi mkubwa mpk wakafanikisha zoezi lileMaji yapo mengi sana Tanzania huko Mbeya, Arusha na Kilimanjaro yanamwagika hovyo kwenye mitaro China wametoa maji zaidi ya 800km kwenda kwenye jimbo lingine sisi tupo busy kushangilia Uchaguzi kila baada ya miaka mitano na kununua magari ya washawasha huku tukiwa hatuna maji ya kutosha kwenye miji mikubwa...
Mbeya kwenyewe maji bado yanatoka kwa mgaoMaji yapo mengi sana Tanzania huko Mbeya, Arusha na Kilimanjaro yanamwagika hovyo kwenye mitaro China wametoa maji zaidi ya 800km kwenda kwenye jimbo lingine sisi tupo busy kushangilia Uchaguzi kila baada ya miaka mitano na kununua magari ya washawasha huku tukiwa hatuna maji ya kutosha kwenye miji mikubwa...
😅😅Waziri yuko busy kumuombea mama dua aishi milele
Watasema Mvua ni kazi ya MunguViongozi hawana maono
Mama anaupiga mwingi mpaka maji yanakupwaWakati waziri mwenye dhamana na maji yuko bize kucheza kadanse, hali ya mto Ruvu ndiyo hiyo.
View attachment 3260778
Ova
😅😅😅Mama anaupiga mwingi mpaka maji yanakupwa
Desalination changamoto yake ni ile chumvi unayoichuja unaipeleka wapi, ukiidump ardhini unaharibu mazingira, ukiidump baharini with time unaongeza concentration ya chumvi baharini unadisturb ecosystem ya viumbe maji…Na pia ni expensive kurun!!..Nafikiri ipo haja ya kuanza kufikiria kusafisha maji ya bahari/kuyatoa chumvi yatumike kwa matumizi ya nyumbani (kama mbadala kipindi cha kiangazi). Hiyo process kwa kitaalam huitwa "Desalination"
Tunaweza kuomba hiyo technologia huko Saudia Arabia ambapo wanaitumia kwa ufanisi na kwa miaka mingi... pengine wakatusaidia bure kwani wanapenda kusponsor huduma za maji.
Nchi nyingine maarufu kwa hiyo technologia ni; United Arab Emirates, Israel, Kuwait, Australia, Spain nk