Video: Ni kweli kina cha maji kimepungua sana kwenye matanki ya Mto Ruvu?

Video: Ni kweli kina cha maji kimepungua sana kwenye matanki ya Mto Ruvu?

Desalination changamoto yake ni ile chumvi unayoichuja unaipeleka wapi, ukiidump ardhini unaharibu mazingira, ukiidump baharini with time unaongeza concentration ya chumvi baharini unadisturb ecosystem ya viumbe maji…Na pia ni expensive kurun!!..

Chumvi na Impurities zinazotokana na desalination huwa zinarudishwa baharini kwa ile process ya diffusers.
Hii process huhakikisha chumvi inayo rudishwa inachanganyika na maji kwa haraka na hivyo kutoadhiri mazingira ya baharini (hivyo hai disturb Ecosystem). Imekuwa ikifanyika hivyo kwa hizo Nchi na kwa ufanisi.

Ni kweli kuchuja maji ni gharama ukilinganisha na kutega maji ya mto lakini watu wakikosa maji na kuishia kwenye madimbwi wanaweza kuugua matumbo na magonjwa ya ngozi ambapo kuwatibu ni gharama pia.
Hata hivyo, hii inaweza kuwa mbadala kama tutakuwa tumekosa vyanzo vingine vya maji
 
Miaka ile mbeya wale DANIDA walipokuwa wanafanya mradi ule jamaa walikuwa wanafanya kwa uweledi mkubwa mpk wakafanikisha zoezi lile
Maana maji yanakusanywa sehemu mbali kutoka kwenye vyanzo na wanayaingiza kwenye matank makubwa

Ova
Danida walifanya kazi kubwa kusambaza maji Mkoa wa Mbeya na wilaya zake sema tushadumaa tunataka Danida iliyofanya kazi miaka ya 1975 mpaka miaka ya karibuni warudi tena kutujengea matanki na kusambaza mabomba ni kama tumedumaa fulani hivi..
 
Nchi inaongozwa na wasenge sana.Yaani tatizo la maji moto ruvu Huwa ni la Kila mwaka lakini walioko madarakani wameshindwa kabisa kutatua changamoto ya maji wakati tuna vyanzo vya maji vya uhakika kama vile ziwa mwanza(wakoloni waliita Victoria),ziwa la kigoma na rukwa.
 
Back
Top Bottom