Video: Ni kweli kina cha maji kimepungua sana kwenye matanki ya Mto Ruvu?

Attachments

  • 481084978_2973548516152947_53302320930696354_n.jpg
    481084978_2973548516152947_53302320930696354_n.jpg
    71.9 KB · Views: 1
  • images (2) (1).jpeg
    images (2) (1).jpeg
    44.3 KB · Views: 1
Desalination changamoto yake ni ile chumvi unayoichuja unaipeleka wapi, ukiidump ardhini unaharibu mazingira, ukiidump baharini with time unaongeza concentration ya chumvi baharini unadisturb ecosystem ya viumbe maji…Na pia ni expensive kurun!!..
Wao uarabuni wanaweza vipi?
 
Mkuu ukifuatilia kiundani Desalination sio suluhisho la kudumu
 
Attachments

  • IMG_6663.jpeg
    IMG_6663.jpeg
    181.6 KB · Views: 1
Chumvi na Impurities zinazotokana na desalination huwa zinarudishwa baharini kwa ile process ya diffusers.
Hii process huhakikisha chumvi inayo rudishwa inachanganyika na maji kwa haraka na hivyo kutoadhiri mazingira ya baharini (hivyo hai disturb Ecosystem). Imekuwa ikifanyika hivyo kwa hizo Nchi na kwa ufanisi.

Ni kweli kuchuja maji ni gharama ukilinganisha na kutega maji ya mto lakini watu wakikosa maji na kuishia kwenye madimbwi wanaweza kuugua matumbo na magonjwa ya ngozi ambapo kuwatibu ni gharama pia.
Hata hivyo, hii inaweza kuwa mbadala kama tutakuwa tumekosa vyanzo vingine vya maji
 
Ukifuatilia vizuri Nchi zinazofanya desalination still zipo kwenye trials, na wanaona sio sustainable with time, dissadvantages ni nyng zaidi
 
Chumvi na Impurities zinazotokana na desalination huwa zinarudishwa baharini kwa ile process ya diffusers.
Hii process huhakikisha chumvi inayo rudishwa inachanganyika na maji kwa haraka na hivyo kutoadhiri mazingira ya baharini (hivyo hai disturb Ecosystem). Imekuwa ikifanyika hivyo kwa hizo Nchi na kwa ufanisi.

Ni kweli kuchuja maji ni gharama ukilinganisha na kutega maji ya mto lakini watu wakikosa maji na kuishia kwenye madimbwi wanaweza kuugua matumbo na magonjwa ya ngozi ambapo kuwatibu ni gharama pia.
Hata hivyo, hii inaweza kuwa mbadala kama tutakuwa tumekosa vyanzo vingine vya maji
Saudia,Dubai na Iran maji wanatoa wapi?
 
Soon mgao umeme pia utaanza ....kuna mpuuzi mmoja juzi tu ameropoka kuwa hata mvua isiponyesha miaka 3 maji yanatosha......atayatapika matamshi yake.....
 
Back
Top Bottom