Pre GE2025 Video: Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto wa Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amepewa jukumu na Rais si rahisi kukataa.
 
Alipokuwa kichanga
 
Attachments

  • FB_IMG_1738421874362.jpg
    65.4 KB · Views: 2
Shingoni anauvimbe wakampasue kwanza huo uvimbe kabla ya kampen.au machoyangu yameona viibaya
 
View attachment 3225314

Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto au mjukuu wa Mzee Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike.
Mimi binafsi naona watu mnaomsema Mzee Wasira ni kwasababu mnamuogopa!
Mzee huyu ukimlinganisha na rais wa Marekani Donarld Trump mzee Wasira bado ana nguvu sana japo kamzifi mzee Trump mwaka mmoja.
Watu ambao wanaogopa nguvu ya kujenga hoja zinazotokana na uzoefu alionao Mzee Wasira kutokana na kukaa ndani ya chama na serikali kwa muda mrefu sana ndio kila siku kumsemasema kama vile hamna mazungumzo mengine.
Mzee Wasira bado Yuko fiti sana na CCM hawakukurupuka wala hawakukosea kumpa mzee Wasira nafasi hiyo!.
Kumbukeni palipita muda mrefu sana tangu mzee Kinana ajiuzulu kwahiyo walipata muda wa kutuliza akili na kuwakagua makada wa CCM mmoja baada ya mwingine hadi mwisho ndio wakaona ni mzee Wasira ndiye mtu sahihi anayefaa kwa nafasi hiyo kutokana na hali iliyopo ya joto la kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu!.
Kwahiyo tulieni na bado hamjasema, yaani lazima mseme!
 
Jumuiya za wazee zipige kelele, huu ni utesaji na udhalilishaji kwa wazee.
Mzee Donarld Trump ana miaka 79 na ni rais wa Taifa kubwa la MAREKANI hadi mwaka 2029 atakapokuwa na miaka 83.
Hivi kuongoza chama cha mapinduzi na kuongoza taifa kubwa kama MAREKANI ipi ni kazi kubwa na ngumu zaidi?!
 
Cheap comparison
 
Achana na US na Trump,Wasira ni kama Biden kachoka sana umri umemtupa mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…