Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kumtesa tu huyu Babu.Amepewa jukumu na Rais si rahisi kukataa.
Waandishi wa Habari wengine hovyo kabisa,Sasa ni heshima gani kutembea na kinywaji?
Mimi binafsi naona watu mnaomsema Mzee Wasira ni kwasababu mnamuogopa!View attachment 3225314
Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto au mjukuu wa Mzee Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike.
Kuna wazee wana tamaa Fisi akasomeView attachment 3225314
Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto au mjukuu wa Mzee Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike.
Lissu kwanini asipumzike?View attachment 3225314
Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto au mjukuu wa Mzee Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike.
Mzee Donarld Trump ana miaka 79 na ni rais wa Taifa kubwa la MAREKANI hadi mwaka 2029 atakapokuwa na miaka 83.Jumuiya za wazee zipige kelele, huu ni utesaji na udhalilishaji kwa wazee.
Cheap comparisonMzee Donarld Trump ana miaka 79 na ni rais wa Taifa kubwa la MAREKANI hadi mwaka 2029 atakapokuwa na miaka 83.
Hivi kuongoza chama cha mapinduzi na kuongoza taifa kubwa kama MAREKANI ipi ni kazi kubwa na ngumu zaidi?!
Achana na US na Trump,Wasira ni kama Biden kachoka sana umri umemtupa mkono.Mzee Donarld Trump ana miaka 79 na ni rais wa Taifa kubwa la MAREKANI hadi mwaka 2029 atakapokuwa na miaka 83.
Hivi kuongoza chama cha mapinduzi na kuongoza taifa kubwa kama MAREKANI ipi ni kazi kubwa na ngumu zaidi?!
Mpelekee mkeo akalale naye uone kama harudi na mimba !😄😄😄😅Babu muda wote anasikia baridi...uzee ni taabu sanaa