Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka kusema Mkuu wa Mkoa amefurahia lile tukio la Hamza, Au!!!Sikutegemea..maana ni saa chache tu zimepita
maisha ya uongozi yana stress sanaaa
wacha waserebukeee
Hapa sijaona barakoa, au kwenye sebene, kirusi kinakuwa kimepigwa short hakina madhara??? 🤣Nmeshangaa sana kumuona Mkuu wa Makoa wa Dar Mh Amos Makalla akicheza sebene leo baada ya mahojiano
View attachment 1909176
Ndugu furaha hainunuliwi karibu tucheze twist😂😂Nmeshangaa sana kumuona Mkuu wa Makoa wa Dar Mh Amos Makalla akicheza sebene leo baada ya mahojiano
View attachment 1909176
Nmeshangaa sana kumuona Mkuu wa Makoa wa Dar Mh Amos Makalla akicheza sebene leo baada ya mahojiano
View attachment 1909176
"Twist" ni mtindo uliovuma miaka ya sitini sio tisini.
Labda alijua wakuu wa mikoa hawana viunowee nae.......sasa kilichokushangaza ni nini......? kwani yeye sio binadamu mpaka asiruhusiwe kufurahi........?☹️