Video: Nimeshangaa sana kuona Mkuu wa Mkoa akicheza sebene

Video: Nimeshangaa sana kuona Mkuu wa Mkoa akicheza sebene

Mdau sana wa miziki ya bendi huyu
Kitambo sana mbona
Tena kama vp airudishe mziki wa bendi

Ova

Siku hizi hapo mjini mnao akina TUKUYU SOUND nasikia ni balaaa wazee wa protocol
 
Muwe mnatumia akili na siyo ubishi wa tu. Wanasiasa wa Tanzania hawafanyi kazi, wamebaki kuzurura na kupiga madomo kaya kila sehemu. Wewe ulikuwa umepotea siku nyingi hapa JF nikadhani akili zimebadilika kumbe bado uko vile vile. Mama Arusha by night vipi wewe? Bado unaendelea na ile kazi yako?
Nitakusafirisha hadi Kabul wewe...........
 
Back
Top Bottom