Video: Nimeshangaa sana kuona Mkuu wa Mkoa akicheza sebene

Video: Nimeshangaa sana kuona Mkuu wa Mkoa akicheza sebene

wee nae.......sasa kilichokushangaza ni nini......? kwani yeye sio binadamu mpaka asiruhusiwe kufurahi........?☹️
Yaeda Chini sikuoni Preta umepotelea wapi jamani long time Karibu tena...
 
Watu hawajui tu stress za uongozi

Ila RC alikuwa mtu wa Sebene sana tangu akiwa IFM

Hata mama yetu "Gwaji girl" anaonekana akisakata ngoma mahali fulani iviii..... Huenda nae ni mpenda muziki na hakuweza kuficha hisia mbele ya kameraa

kuna wengine wakienda hata shereheni ama sehemu yenye muziki utaona anatikisa mwili/tako/mabega/kichwaaa lakini kuhamuka na kusakata/kuucheza mziki haweziii wanabaki kupiga picha na video na kutuma --umbea
 
Muache Amos Makala afurahie maisha. Mwendazake alimchukia ghafla akamuweka benchi. Mara paaa Mungu sio Athuman....karudi tena ulingoni tena Dar.
 
Ikiwa mpaka baharia imemuuma itakuwa mkuu wa mkoa kweli jamani🤔
FB_IMG_16299784310889941.jpg
 
Sisi Waafrika ndio kitu tunachokiweza baada ya Ugali mzito
 
Mdau sana wa miziki ya bendi huyu
Kitambo sana mbona
Tena kama vp airudishe mziki wa bendi

Ova
 
Makala ni mtu wa Music 🎶 muda mrefu, Bendi kibao zinamtaja kwenye nyimbo zao
 
wee nae.......sasa kilichokushangaza ni nini......? kwani yeye sio binadamu mpaka asiruhusiwe kufurahi........?☹️
Muwe mnatumia akili na siyo ubishi wa tu. Wanasiasa wa Tanzania hawafanyi kazi, wamebaki kuzurura na kupiga madomo kaya kila sehemu. Wewe ulikuwa umepotea siku nyingi hapa JF nikadhani akili zimebadilika kumbe bado uko vile vile. Mama Arusha by night vipi wewe? Bado unaendelea na ile kazi yako?
 
Back
Top Bottom