nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Kilichokushangaza nini sasa tafuta vitu vya kuandika bwana mbona obama alicheza muziki na bibi ikulu?Nmeshangaa sana kumuona Mkuu wa Makoa wa Dar Mh Amos Makalla akicheza sebene leo baada ya mahojiano
View attachment 1909176
Nmeshangaa sana kumuona Mkuu wa Makoa wa Dar Mh Amos Makalla akicheza sebene leo baada ya mahojiano
View attachment 1909176
Mdau sana wa miziki ya bendi huyu
Kitambo sana mbona
Tena kama vp airudishe mziki wa bendi
Ova
Nitakusafirisha hadi Kabul wewe...........Muwe mnatumia akili na siyo ubishi wa tu. Wanasiasa wa Tanzania hawafanyi kazi, wamebaki kuzurura na kupiga madomo kaya kila sehemu. Wewe ulikuwa umepotea siku nyingi hapa JF nikadhani akili zimebadilika kumbe bado uko vile vile. Mama Arusha by night vipi wewe? Bado unaendelea na ile kazi yako?
Nmeshangaa sana kumuona Mkuu wa Makoa wa Dar Mh Amos Makalla akicheza sebene leo baada ya mahojiano
View attachment 1909176
Nyimbo za Kenya mbayaaaaaa