VIDEO: Nyerere alishashauri elimu sio kitu cha kujigambia hata kidogo

VIDEO: Nyerere alishashauri elimu sio kitu cha kujigambia hata kidogo

Kwahiyo unataka kusema Nisojiite Eng.Dr.CPA,Advocate,CISP,Architect,Juma ngogolo???🥹🥹[emoji23][emoji851]
Nimewnza na Huo Utambulisho kwanza!
Unaweza kujiiita unavyotaka lakini nyerere alikuwa anasema kikubwa ni umefanya nini cha kusaidia jamii na elimu yako. Unaweza kuwa na vyeti kibao vya research lakini ukawa mlevi tu na hausaidii kitu je kwa jamii unataka wakuone wa muhimu zaidi? ni ushamba tu
 
Back
Top Bottom