Video: Nyumba ya Tulia Ackson

Alafu utasikia nae anajiita mtoto wa maskini! Au nae anasema "sisi wanyonge"

Watanzania kujanjaruka sio Leo Wala kesho maana wanachoteka kirahisi sana

If You Are Born Poor It’s Not Your Mistake, But If You Die Poor It’s Your Mistake.​


Kuwa mtoto wa maskini hakumfanyie awe maskini, pambana na hali yako acha makasiriko.
 
Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
 
Hiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
 
mwamba hako ni kahekalu kadogo sana kwa mwanasiasa,
hususani member of paliamenti tena mweshimiwa sabufa kama huamini nenda kwa sieijii
kama PROF Assad akuambie matumizi ya mzee Ndugai kwenda chek up mambele one trip unajenga hiyo na chenji unanunulia range new model na yeye alienda trip 10 per year this is Afrika blood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…