Video: Nyumba ya Tulia Ackson

If You Are Born Poor It’s Not Your Mistake, But If You Die Poor It’s Your Mistake.​


Kuwa mtoto wa maskini hakumfanyie awe maskini, pambana na hali yako acha makasiriko.
Ni kweli
 
Wanataka kila mtu aishi kimasikini ili wafarijike kua wanaopigika kumbe ni wengi.
😀😀
 
Nyumba ya serikali akitoka anaingia spika mwingine japo anao uwezo wa kujenga hiyo
 
Kafanya kazi kama professor?
Kazi gani hiyo ya kufanya kama professor?
Ila hao ma pro wa vyuo vya umma salary zao ni ndogo sana.

Professor - a teacher of the highest rank in a college or university. Kama wana salary ndogo ni wao sio kila mtu ana salary ndogo na kuna michongo mingine zaidi ya kufundisha tu. Ukijiweka ndani ya box ni uzembe wako usimlalamikie mwingine.
 
Kafanya kazi kama professor kwa kutumia title ya Dr? au ndo story za vijiwe vya kahawa.
Hapo kuwa kafanya kazi kama Professor umemanisha nini mkuu?.

The professor is simply an instructor hata uwe na degree unaweza kuwa professor. In French, ambako neno professor is derived from ni mwalimu wa ngazi yeyote ile, hata mwalimu wa vidudu ni professor.

Professor - a teacher of the highest rank in a college or university.
 
Hongera mkuu kwa kutalii kwenye nyumba ya Spika kila akibadili unatalii tuu wazee wa vitengo bhana...
Nilikuwa nikiishi mitaa hiyo ilipo nyumba ikawa rahisi kwangu kuingia kushangaa mjengo na ukizingatia ni nyumba ya serikali sio binafsi kwa hiyo walikuwa hawakatazi kuingia kabla spika hajahamia tulikuwa tunatalii nyumba nzima na kupiga picha.
 
Mimi ndio maana siingii nyumbani kwa MTU.
Hawa mabwege wamejishusha kupitiliza. Sijui wamepewa kimpumu kidogo?
 
Pumba kabisa, kwa hiyo akiwa UD alikua Prof lakini baada yakuwa Nominated Member of Parliament, Naibu Spika, then Spika ndiyo akawa Dkt tena?? Maajabu haya
 
Sijaona mjego wa ajabu ila ameitunza vizuri ,kwa mjengo huo ni kawaida kujenga kwa kuwa tu mbunge zaidi ya miaka 8 na pia mmewe naye yupo ,kwa kukusanya vipato vya wawili ni kawaida sana.
 
Pumba kabisa, kwa hiyo akiwa UD alikua Prof lakini baada yakuwa Nominated Member of Parliament, Naibu Spika, then Spika ndiyo akawa Dkt tena?? Maajabu haya
Ona hii mbuzi nayo. A professor is simply an instructor, hata mwalimu wa vidudu ni professor. The word Professor is derived from the French word le professeur lenye maana mwalimu/teacher.

Kawaida, mtu yeyote anayefundisha chuo kikuu ni professor either ana degree, masters au doctorate. A professor is a teacher of the highest rank in a college or university (From Google). Unajua Obama alikua Professor? Umewahi kusikia kuna siku anaitwa professor Obama au Dr. Obama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…