Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Anna Makinda ndio alikuwa wa kwanza kuizindua. Hiyo ni nyumba kwa ajili ya spika wa bunge imejengwa na serikali sio ya Tulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo Uzunguni Dodoma, mbele kidogo ya Bar ya Waswanu.Hii ni Nyumba ya Serikali, Makazi ya Spika, Iko dodoma. Hata baadhi ya watagulizi wake waliishi Hapo.
Bro hii nchi watu wana mawazo ya kimasikin sana. Nyumba ya kawaida sana kwa hadhi yake. Isitoshe hawajatuambia hayo ni makaz ya spika au ni makaz binafs.Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
Jamii nayo inauhitaji na ulichokisema mkuu au jamii inataka umbea. Waandishi wa bongo wanadance according the tune wala usiwalaumu.Waandishi wa habari wa Ulaya kamwe hawathubutu kwenda nyumbani kwa kiongozi.
Kwa sababu muda wowote hali ya hewa inaweza kuchafuka. Wanataka wawe huru, wasiogope kufukuzwa nyumbani kwa mtu. Kwa hiyo wanakutana kwenye ofisi ya umma, au studio, au barabarani ambapo waandishi wako huru na wewe kiongozi yakikushinda uko huru kusanzuka.
The tone and tenure of the interview ni kuchekeana chekeana na kumshukuru kwa kuwaalika na kumsifia kwa nyumba yenye landscape nzuri.
Wanahabari wameenda pale hawana issue ya utendaji wa Spika na Bunge ambayo wanahofu wakiibua inaweza kutibua munkari za kila mtu. Hawajafanya homework, hawajui pressing issues za nchi ni zipi, na wakizijua hawana data za kumchimba Spika na bunge lake pale penye mapungufu, hawana upeo masikini ya Mungu. Third rate press of the third world.
You said it well, sir.“In a country well governed, poverty is something to be ashamed of. In a country badly governed, wealth is something to be ashamed of.” – Confucius.
We sema ulienda kupiga wiringHiyo ni nyumba ya serikali kwa ajili ya spika, nilishawahi kuingia mwaka 2011 wakati imekamilika kujengwa lakini spika alikuwa hajahamia, nikaja kuingia tena wakati anakaa spika Anna. Mara zote hizo niliingia kama mtalii tuu.
Wewe ungekuwa spika ungeishi nyumba ambayo unaishi leo.Alafu utasikia nae anajiita mtoto wa maskini! Au nae anasema "sisi wanyonge"
Watanzania kujanjaruka sio Leo Wala kesho maana wanachoteka kirahisi sana
Hapo kuwa kafanya kazi kama Professor umemanisha nini mkuu?.Tulia ni Dr wa kusomea kabisa. Kafanya kazi UD kama Professor kabla ya kwenda bungeni. Kawa mbunge wa kuteuliwa, mbunge wa kugombea na sasa ni Spika. Mme wake ni Director wa taasisi fulani. Nini cha ajabu hapo kumiliko hiyo nyumba? Mnataka mtu afanye kazi afu aishi kwenye nyumba ya nyasi?
PointIf You Are Born Poor It’s Not Your Mistake, But If You Die Poor It’s Your Mistake.
Kuwa mtoto wa maskini hakumfanyie awe maskini, pambana na hali yako acha makasiriko.
Spika ndio mtumishi wa Serikali,