Video: OCD Shinyanga adaiwa kuja na bango la CCM lililochanwa nyumbani kwa mgombea wa ubunge Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA ili kumkamata

Video: OCD Shinyanga adaiwa kuja na bango la CCM lililochanwa nyumbani kwa mgombea wa ubunge Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA ili kumkamata

Mbona napita barabarani nakuta mabango mengi yamechanwa tu? Mimi binafsi mtu yoyote akiweka tangazo au bango la kisiasa kwenye fence yangu nitachana. Na nilishachana mengi tu ya Chadema, cuf na CCM 2015. Kweli hizi mbinu mbona za hovyo sana? Hebu tunzeni amani tuliyoijenga kwa miaka mingi. Siasa zisituletee kuvurugana na uadui.
 
A sovereign state,which have a debt of 55tshs trillions,and we still wear mitumba from abroad.((from America,UK))
How does our debts concern you? That is our choice to borrow or not. BTW every sovereign state has its own choices.
 
Huwezi ukapata confidence ya kutetea uongo naona OCD kawekwa mtu Kati Kama mtu aliyefumaniwa maneno huwa yanapotea.
 
Tukiwaambieni polisi ndio wanatumika kuihujumu ccm na Utawala huu ili uchukiwe na wananchi muwe mnaelewa
 
OCD na kitambi chake hata aibu hana baada ya kubanwa amebaki kuzunguka zunguka kama mbwa dume anayebembeleza jike ale mzigo.
Kama mtu aliyefumaniwa.Hapo sawa na mtoto kaiba sukari kabambwa pa chijaiba huku sukari ipo mdomoni
 
Polisi endeleni kuibomoa ccm ichukiwe na wananchi kwa kuwanyanyasa wapinzani hapa mnafanya kazi nzuri Sana
 
Sasa thamani ya bango na mafuta aliyotumia kumfuata huyo mgombea vinaendana. Ukisikia nabana pua kupenga kamasi usije sema Nina dharau
 
How does our debts concern you? That is our choice to borrow or not. BTW every sovereign state has its own choices.
Do you/they ever PAUSE to think of finally, who is going to carry the burden of paying the heavy debts?
 
Hivi hawa jamaa wote wamekuwa mburula hivi? Huko huko kuna yule mama mgombea wa CHADEMA aliyesachiwa usiku kuwa ana silaha za moto kwake. Wakakuta ana panga na kisu nyumbani kwake. Wakamkamata na kumfungia selo! Mbona Watanzania tumeamua kuwa makaburu kwa Watanzania wenzetu? Hii laana imetoka wapi?
 
Back
Top Bottom