VIDEO: Ona Shangwe la Lissu mkutano Mkuu BAWACHA

Katawala miaka 20 chama cha babamkwe wake .. Ana maamuzi ya mwisho kinamuingizia billions of money halafu amuachie Lissu... We kuwezaaa.... The true judge is time... We shall see...
 
Tuache unafiki hizo pamba kali branding si mchezo hiki chama walisema kimekufa.....Chama Kinaonekana apewe Maua yakeee huyo MBUNIFU

Kimoyomoyo😃😃😃
 
Lissu ni binadamu mwingine kabisa huyu
Mkuu Lisu ni binadamu sawa na watu wengi.

Tofauti yake ni kwamba kaamua kusimamia ukweli bila kupepesa macho, hasa nyakati hizi zilizojaa ulughai mwingi.

Hicho tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…