VIDEO: Ona Shangwe la Lissu mkutano Mkuu BAWACHA

VIDEO: Ona Shangwe la Lissu mkutano Mkuu BAWACHA

Mimi naona Mbowe atakuja washangaza watu kwa kujitoa dakika za mwisho... au kuahirishwa uchaguzi kuwa kuna viashiria vya uvunjfu wa amani
 
Katawala miaka 20 chama cha babamkwe wake .. Ana maamuzi ya mwisho kinamuingizia billions of money halafu amuachie Lissu... We kuwezaaa.... The true judge is time... We shall see...
Yule zero brain hana hata D mbili, angalau angezitumia kung'amua Mambo......
 
Mimi naona Mbowe atakuja washangaza watu kwa kujitoa dakika za mwisho... au kuahirishwa uchaguzi kuwa kuna viashiria vya uvunjfu wa amani
Kwani Mbowe na chama nani mwenye nguvu,
Atabaki na chama uelekeo unabadilika kinapatikana chama kipya na maisha yaendelee,
Kwanini mtu ang'ang'anie madaraka kiasi hicho,ananufaika na nini awaweke wazi wanachama kwamba napata 123...
 
Sijui mbowe bado anajiamini kwa lipi!

Jamaa huyu (Freeman Mbowe) anaamini kufanikiwa kwa kila jambo lake ikiwemo kushinda uchaguzi huu kwa kutumia dhana kuu mbili;

1. DHANA #1; Anadhani kuwa wakati wote pesa inaweza kumpa anachohitaji.

===Hii dhana haina ukweli wote. Inabeba nusu ya ukweli tu ktk maisha haya kwa sababu ni kweli kabisa kuwa, kwa wakati fulani, pesa inaweza kukusaidia kuvuka kikwazo hiki au kile. Ila ni ukweli mwingine pia, unaweza kuwa na pesa mkononi na isikuokoe na janga lililoko mbele yako. Mfano: Hayati Rais John P. Magufuli alikuwa na vyote pesa (za BoT na mabenki yote) alikuwa na access nazo, lakini hazikuweza kuzuia kifo kisimchukue yaani asife...!!

2. DHANA #2; Kutegemea kusaidiwa na CCM (Rais Samia Suluhu Hassan) na mifumo ya kidola (polisi, UVCCM/TISS) Ili kumrudisha kwenye uenyekiti.

=== Hii nayo inawezekana tu ktk mazingira fulani. Lakini si wakati wote mamlaka za kiutawala/kidola zinaweza kufanikiwa kui - undermine HAKI. Mfano, Polisi, TISS/UVCCM walishindwa kukazuia "ka - mungu" kalikokuwa kanaitwa kwa jina la John P. Magufuli aliyekuwa na vyote hivyo 👆👆👆 mauti isimchukue yaani ASIFE....

##KWA HIYO BASI, kinachoweza kuzuia hatari na maangamizi ya mtu ni mambo matatu tu yafuatayo:

🔨 Kusoma na kutambua majira na nyakati za kufanya kila jambo..

🔨 Kuwa na maarifa (knowledge) na ufahamu kamili (a complete 💯💯 understanding) wa kile unachokiendea..

🔨 Understanding (ufahamu/uelewa) na knowledge (maarifa) humpa mtu HEKIMA na BUSARA ya kufanya maamuzi sahihi ya kutenda au kutotenda jambo fulani...

Unfortunately, Freeman Mbowe na wapambe wake haijulikani hizi life skills muhimu wamemuuzia nani kiasi cha vichwa vyao kubaki makopo matupu...!!

Probably, rushwa ya Abdul na Mama Abdul imeshalamba akili na ufahamu wao wote na sasa wanaburuzwa kuelekea jehanamu na shetani Ibilisi Ili kuzikwa Moja kwa moja..!!
 
Back
Top Bottom