Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatubu kwa padri? kwa andiko lipi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imenikumbusha Kuna kipindi flan miaka ya 2007 kama sikosei Kuna padre moja kanisa la katesh alikua anatabia ya kuwapiga wadau makofi wakienda kitubio alaf wakakosea kusali Ile Sala ya kutubu.....nlikua nkienda kutubu nkakuta yupo huyo padre James naondoka nawaaga wadau kwamba ntakuja kutubu siku nyingine maana ilikua hata ukisitasita kidogo wakati wa kutubu unapigwa bonge la Kofi unaambiwa urudi nyuma ukapange mstari upya
Cc: FaizaFoxyHao ni mtu mmoja.
Jamaa anavyoonekana alijizuia kumpa kichapo huyo mzee.